Rafiki, Biashara ni kama binadamu, inatungwa mimba ( mawazo)inazaliwa ,inakua na hatimaye inakufa. Biashara ina uhai kama vile binadamu alivyo, kitu chochote kikikosa uhai kitakufa. Katika biashara nyingi unazoziona zinakufa ujue zimekosa pumzi. Kitu kikikosa pumzi huwa kinakuwa kinakufa. Leo tutajifunza pumzi ya muhimu katika biashara yako. Pumzi muhimu ya biashara yako ni mzunguko wa …
Sababu Mbili Zitakazokufanya Ushindwe au Ushinde Kwenye Jambo Lolote
Mpendwa Rafiki yangu, Sisi wenyewe huwa tunachangia sana maisha yetu au sisi binafsi kuwa kama tulivyo leo. Kama ni mafanikio makubwa au hali ngumu kwenye maisha yetu sisi ndiyo tumekuwa chanzo namba moja. Hadithi ni nyingi sana kwenye maisha yetu. Kila mtu ana hadithi yake ambaye akikuelezea unaweza kujifunza kitu fulani. Tumepewa uwezo mkubwa na …
Continue reading "Sababu Mbili Zitakazokufanya Ushindwe au Ushinde Kwenye Jambo Lolote"
Jinsi Ya Kuepuka Kufanya Maamuzi Ya Kuongozwa Na Hisia
Karibu maamuzi mengi wanayofanya watu duniani yanaongozwa na hisia. Watu wengi hawapendi kufikiri kwani kufikiri ni moja ya kazi ngumu duniani. Kama ingekuwa tunafikiri kabla tusingekuwa tunafanya maamuzi ya hisia. Wengi wetu tunaendeshwa na hisia kuliko kuongozwa na akili. Tunanunua kwa hisia na siyo kwamba kwa uhitaji, bali ule msukumo wa hisia unavyofanya mambo ndani …
Continue reading "Jinsi Ya Kuepuka Kufanya Maamuzi Ya Kuongozwa Na Hisia"
Jinsi Ya Kumwamasisha Mtoto Wako Ili Aweze Kufaulu Sana Darasani
Rafiki yangu mpendwa, Sisi binadamu huwa tuna vitu viwili ambavyo vinatuhamasisha kuchukua hatua, kitu cha kwanza ambacho kinatuhamasisha kuchukua haraka ni kwa ya kupata furaha au raha na kingine kinachotuhamaisha kuchukua hatua ni kuepuka maumivu. Ziko hamasa za aina mbili zinazofanya kazi vizuri ambazo ukizitumia utaweza kumwamasisha mtoto wako na kufanya vizuri shuleni. Kila mzazi …
Continue reading "Jinsi Ya Kumwamasisha Mtoto Wako Ili Aweze Kufaulu Sana Darasani"
Kwenye Kila Tatizo Unalokutana Nalo Jiulize Swali Hili Hapa
Rafiki, Kila mmoja wetu anafanya makosa katika maisha yake. Hakuna ambaye ni mkamilifu na asili ya kila binadamu ni kukosea, tunapokosea ndiyo huwa tunajifunza. Maisha ni kama shule na changamoto tunazo kutana nazo ndiyo mitihani. Kumbe basi, tunapokimbia changamoto maana yake hutaki kwenda darasa lingine bali unataka kubaki darasa hilo hilo yaani kama uko la …
Continue reading "Kwenye Kila Tatizo Unalokutana Nalo Jiulize Swali Hili Hapa"
Hiki Ndiyo Kitu Ambacho Hakijawahi Kumuangusha Mtu
Rafiki, Ni kawaida katika jamii yetu watu kuona kama vile kazi ni mateso sana. Watu kufanya au kutimjza wajibu wao wanahisi kama vile ni utumwa na siyo sehemu ya maisha yao. Tukianzia katika kuamka mapema , mtu akiwa bize na kazi zake wako watakaosema fulani anateswa au anajitesa na kazi. Hapa tunajifunza kuwa licha ya …
Continue reading "Hiki Ndiyo Kitu Ambacho Hakijawahi Kumuangusha Mtu"
Hii Ndiyo Kazi Ambayo Wanaishindwa Watu Wengi
Mpendwa rafiki yangu, Wote tunajua kazi ni muhimu sana katika maisha yetu, licha tu ya kuwa muhimu bali imekuwa ni asili ya kila binadamu, binadamu ni kazi huwezi kuendelea kuishi bila kuwa na kazi. Licha ya kuwa kazi inachosha lakini huna namna inabidi ufanye kazi ili uishi, sasa chagua kufanya kazi, huwezi kufa kwa ajili …
Continue reading "Hii Ndiyo Kazi Ambayo Wanaishindwa Watu Wengi"
Hizi Ndiyo Hisia Mbili Zinazowasukuma Watu Kuchukua Hatua
Mpendwa rafiki yangu, Kila mmoja wetu kuna hisia mbili ambazo zinamsukuma mtu juu ya jambo fulani. Watu wa mauzo na masoko ni watu ambao wanatumia saikolojia hii kwa ajili ya kuuza kupitia biashara wanazofanya. Kila mmoja wetu kuna kitu ambacho anauza hivyo utakapozijua vizuri hisia hizi zitakusaidia katika shughuli zako za kila siku. Hisia mbili …
Continue reading "Hizi Ndiyo Hisia Mbili Zinazowasukuma Watu Kuchukua Hatua"
Hii Ndiyo Sala Bora Duniani Inayopaswa Kusaliwa Na Kila Mtu
Mpendwa rafiki yangu, Sisi binadamu tumekuwa ni viumbe ambao tumependelewa kuliko viumbe vyote duniani. Ni viumbe ambao wana akili ya kufanya mambo makubwa duniani. Wanaofanya hii dunia iendelee kupendeza ni watu na wanaofanya dunia isipige hatua ni watu. Ukifananisha miaka mia moja ya nyuma dunia ilivyokuwa huwezi ukaifananisha na sasa, hata wale wa zamani wakifufuka …
Continue reading "Hii Ndiyo Sala Bora Duniani Inayopaswa Kusaliwa Na Kila Mtu"
Jinsi Ya Kujiondoa Kwenye Maumivu Ya Ndani
Imekuwa ni kawaida kwa watu wengi kuwa na maumivu ya ndani. Na chanzo kikubwa cha maumivu ya ndani ni kuvumilia. Watu wengi wanapenda kuvumilia maumivu ya ndani , unakuta mtu amekwazika badala ya kuchukua hatua anavumilia yale maumivu kwa kukaa kimya au kunung'unika. Tunajisababishia sisi wenyewe maumivu ya ndani kwa kuendelea kuvumilia, kubaki na uchungu …
Continue reading "Jinsi Ya Kujiondoa Kwenye Maumivu Ya Ndani"