Baada ya kupitia siku zote za mwezi huu, kuna somo moja kuu linalofunga kila kitu: Maisha yako ni jukumu lako. Sio la mtu mwingine.Sio la mazingira.Sio la bahati. Ni lako. Watu Wengi Hukwepa Uwajibikaji Ni rahisi kusema: “Hali ya uchumi ni ngumu” “Wateja hawapo” “Sina mtaji wa kutosha” “Mazingira hayaruhusu” Na kwa kiwango fulani, haya …
Continue reading "March 31 — Maisha Hubadilika Unapoamua Kuchukua Uwajibikaji Kamili"