Watu wanapokuwa wamekwama, mambo yao hayaendi huwa wanafikiria kitu kimoja tu nacho ni kubadilisha maamuzi. Kubadilisha maamuzi ya kutotaka kuendelea na kile alichokuwa amepanga kufanya. Kwenye mafanikio kama umekutana na changamoto basi usibadilishe maamuzi ya wewe kufika pale ulipotaka kufika. Bali unatakiwa ubadili uelekeo tu. Unatakiwa kubadilisha uelekeo ili kufikia ndoto yako. Kama umekutana na …
Continue reading "Usibadilishe Maamuzi Yako, Bali Badilisha Hiki…"