Design a site like this with WordPress.com
Get started

Licha Ya Madhaifu Yako, Bado Wewe Ni Mtu Muhimu Sana

Rafiki yangu nikupendaye, Pamoja na madhaifu yako, bado wewe ni muhimu. Moja ya mambo yanayopelekea tusijijali sana ni kwa sababu tunajijua sisi wenyewe kuliko mtu mwingine anavyotujua, kuliko tunavyowajua watu wengine. Sasa inapotokea pale tunapojikumbusha madhaifu yetu, mabaya ambayo tumewahi kufanya huko nyumaz tunajiona tunastahili mateso na hivyo kutokujijali kama tunavyowajali wengine. Tunakuwa tunajiona sisi …

Miaka 6 Ya Kuandika Kila Siku Na Mambo Kumi Ya Kujifunza

Ilikuwa ni tarehe moja mwezi octoba mwaka 2016 ndipo nilianza marathoni ya kuandika kila siku bila kuacha. Namshukuru Mungu kwa yote katika kipindi chote cha miaka 6 ya kuandika kila siku. Yako mengi ambayo unaweza kujifunza kupitia kazi yangu ya uandishi. Kuandika ni kazi kama zilivyo kazi nyingine lakini ni kazi ngumu kwa sababu inahitaji …

Wako Watu Wa Aina Mbili, Je wewe Upo Aina Gani Kati Ya Hawa

Kuna watu aina mbili hapa duniani. Wapo watu ambao wanayakubali majukumu yao na kuchukua hatua. Na wapo watu ambao wanayakataa kabisa majukumu yao na kutafuta sababu kwa nini hawawezi kuchukua hatua. Kifupi rafiki yangu, mafanikio hayajawahi kwenda kwa mtu yeyote ambaye siyo wa kukubali majukumu. Mafanikio yanawapenda wale wanaokubali majukumu na kuchukua hatua na siyo …

Tafuta Mtu Wa Kukuwajibisha

Kwa sababu sisi binadamu ni wavivu kiasili. Usipokuwa na mtu anayekuwajibisha ni vigumu kuchukua hatua. Kama unaona nidhamu binafsi bado ni tatizo tafuta mtu ambaye atakuwajibisha yaani accountability partner. Mtu ambaye unamweshimu na wala hutoweza kumwangusha hata kidogo. Wakati mwingine unaweza kumpa kiasi fulani cha fedha kwamba akae na hizo fedha usipofanya kitu fulani basi …

Kinachokufanya Usiende Mbele Ni Hiki Hapa

Hakuna kitu kingine zaidi ya kutochukua hatua. Hakuna mtu asiyejua ili afanikiwe anapaswa kufanya nini. Hakuna asiyejua ili afanikiwe kiroho, kiakili au kimwili anatakiwa kufanya nini. Watu wanajua kile wanachopaswa kufanya lakini shida iko kwenye kutokuchukua hatua. Wako watu wana kiri kabisa baada ya kuanza kuchukua hatua kwa nidhamu sasa wanaona mabadiliko chanya kwenye maisha …

Ulinzi Kamili Ni…

Asubuhi njema rafiki yangu, ukawe na maadhimisho mazuri ya sabasaba leo jitakari biashara gani ya familia utakayoiachia familia yako hata ukifa badala ya kuwaachia familia yako CV ambayo itasomwa kwenye mbele ya jeneza lako huku ikiwa haiwezi kuwasaidia wale uliowaacha kulipa bili. Tengeneza njia kwenye kizazi chako ili kisije kupata shida baadaye. Unayo nafasi sasa …

Kuwa Mkali Kwa Mtu Huyu Hapa

Rafiki yangu, Yako mambo mengi tu unashindwa kuyatekeleza kwa sababu ya kukosa nidhamu binafsi. Umekosa kuwa na nidhamu binafsi ndiyo maana mambo mengi huyakamilishi. Wakati unapokuwa na njaa huwa hujali kitu kingine zaidi ya kupata chakula ili ushibe. Unatakiwa kuwa na nidhamu hiyo kwenye kile ulichojiwekea kufanya yaani hutulii mpaka upate kile unachotaka kwenye maisha …