Haya Ndiyo Mawazo Bora Duniani  Yatakayokusaidia Kuwa Na Mafanikio Makubwa

Uko hivyo ulivyo leo kutokana na maamuzi uliyofanya hapo awali. Kila mtu anapokea kadiri ya yeye alivyoamua kwenye maisha yake. Huwezi kupewa kitu ambacho wewe hujaamua kuwa nacho. Angalia maisha yako ya livyo utaona kuwa vitu vingi ulivyonavyo vinatokana na maamuzi uliyofanya. Huwezi kuwa vile unavyotaka kama hujaamua kufanya maamuzi ya vile unavyotaka. Sisi ndiyo …

Jambo Muhimu Ambalo Watu Wengi  Huwa Wanalisahau Katika Msamaha

Mpendwa rafiki yangu, Kwa kuwa sisi binadamu hatujakamilika, basi ndiyo maana hata kukawekwa msamaha. Mwasisi wa msamaha ni Mungu mwenyewe. Hivi kama ingekuwa hakuna msamaha je dunia ingekuwaje? Tungekuwa ni watu wa kulipizana visasi? Ingekuwa ni sheria ya jino kwa jino je tungeweza kuishi kweli? Kila siku ya maisha yetu huwezi ukamiliza siku bila kukosa …

Usiogope Kujaribu, Jaribu Halafu Iachie Sehemu Hii Ifanye Kazi Yake

Watu wengi wanaogopa kujaribu sana, na hili linawafanya watu wengi kuendelea kubaki pale walipo. Kama hujaribu kitu utawezaje sasa kuwa na maisha bora? Utakuwa kila siku ni mtu yuyule kama hutoamua kuchukua hatua za kujaribu. Kujaribu siyo kushindwa unapojaribu kitu ndiyo unajifunza. Wako ambao wanataka kuanzisha biashara lakini wanaogopa kuna kitu kinawazuia kuanza nacho ni …

Njia Mbili Za Uhakika Za Kupata Fedha Unazotaka

Mpendwa rafiki yangu, Hakuna mtu ambaye hajui umuhimu wa fedha, fedha ni muhimu sana katika maisha yetu na hilo halina ubishi. Fedha ni jawabu la mambo yote. Fedha ni mbadilishano wa thamani, au tunaweza kusema fedha ni zao la thamani. Kwahiyo, ili uweze kupata fedha zaidi unahitaji kufanya haya yafuatayo; Kama unataka upate fedha, unatakiwa …

Ushauri Wa Mwanafalsafa Epictetus Kwa Mtu Yeyote Anayetaka Kufanikiwa

Heri ya mwezi agasti rafiki yangu, Natumaini hujambo na unaendelea vizuri. Niendelee kukutakia kila la heri katika mwezi huu wa nane tunaoanza nao leo. Unaweza kufanya kitu chochote leo na kubadilisha maisha yako. Zaidi ya miaka elfu mbili mafundisho ya wanafalsafa bado yako hai na yanaendelea kutumika katika jamii yetu. Licha  ya wanafalsafa hawa kuishi …

Mtu Yeyote Aliyefanikiwa Amekuzidi Vitu Hivi

Rafiki, Tukubali kuwa sisi binadamu tumezidiana , wako ambao wamepiga hatua kubwa katika maisha ya mafanikio na wako ambao hawajapiga hatua kubwa katika maisha yao. Kila mtu akijitathimini anajiona wazi kabisa kama amepiga hatua au la. Nafsi zetu huwa hazisemi uongo, huenda tunaonekana kwa nje tuna mafanikio makubwa lakini kwa ndani hatuna mafanikio. Mtu yeyote …

Maisha Mazuri Yanaanza Na Kitu Hiki

Mpendwa rafiki yangu, Je unataka kuwa na maisha mazuri? Kama jibu lako ni ndiyo basi hii makala inakuhusu. Kuna mtu kati yetu kila siku anaamka na kuweka mipango ya kuwa na maisha ya hovyo? Kila mtu anaamka akiwa anataka awe na maisha mazuri. Kila mtu anaweka juhudi ili awe bora, kama kuna mtu anaweka juhudi …

Jinsi Ya Kuwa Mtu Wa Viwango

Watu waliofanikiwa sana siyo wale wanaofanya mambo kwa viwango vya chini. Nenda kamuangalie mtu yeyote aliyefanya vizuri eneo fulani la maisha yake hutakuta huyo mtu ni wa viwango vya chini bali ni vya juu. Tunatakiwa kujifunza namna bora ya kuwa watu wa viwango na siyo wa kawaida. Unatakiwa kufanya kila kitu kwa viwango vya juu, …

Maswali Saba Yatakayokuwezesha Kupata Chochote Kile Unachotaka

Rafiki, Wako ambao mpaka sasa maisha yao hawayaelewi hata jinsi yanavyokwenda, wengine ndiyo wameshakata tamaa na kuona ndiyo wamefikia mwisho wa ndoto zao. Umeshakimbizana na kila aina ya fursa, kila kinachokuja mbele yako unakimbizana nacho na matokeo yake muda unaenda unaona huna ulichofanya. Unajua katika maisha yako kama hujui nini unataka haswa huwezi kufanikiwa. Mtu …

Kwanini Ni Muhimu Wewe Kuwa Tajiri

Mpendwa rafiki yangu, Kila mtu anayo haki ya kuwa tajiri, hakuna ufahari wowote unaopata pale unapokuwa maskini kwa sababu umasikini haulipi bili. Sasa kama umasikini haulipi bili unasubiri nini kuwa tajiri? Kila mtu anayo haki ya kuwa tajiri kadiri ya kitabu cha the science of getting rich, utajiri haujatengwa kwa ajili ya wachache na wengi …

Design a site like this with WordPress.com
Get started