Design a site like this with WordPress.com
Get started

Usimwambie Mtu, Nimekuambia Wewe Tu

Ni maneno ambayo watu huyatumia kujihakikishia usalama pale wanapotoa jambo lao kwa watu wengine. Usijidanganye kwamba ukimwambia mtu hivyo ndiyo mambo yatakuwa safi bali ndiyo kama vile umemwambia fanya. Kama una jambo lako na unataka watu wasijue ni bora usiseme kabisa kuliko kusema halafu unamwambia nimekuambia wewe tu lakini usimwambie mtu mwingine.Wimbo unakuwa ni mmoja …

Swali Muhimu Sana La Kujiuliza Pale Tu Unapokutana Na Kitu Usichotegemea

Mwandishi Deepak Chopra anasema hakuna ajali, ila kuna kusudi ambalo bado hatujalijua. Mara nyingi mambo yanapotokea kwenye maisha yako bila ya wewe kutegemea kutokea huwa yanapotokea unasema ni ajali. Lakini Chopra anatuambia hakuna ajali, badala yake kuna kusudi ambalo bado hatujalijua. Kila kinachotokea kwenye maisha yako, iwe ni kizuri au kibaya jua kimekuja na kusudi …

Sheria Unayopaswa Kuiogopa Kwani Haina Huruma Na Mtu

Kiasili hakuna kitu kibaya wala kizuri hapa duniani. Mara nyingi huwa tunapokea kile tunachotoa. Leo nataka nikupe sheria moja ambayo ukiifuata utakua na maisha mazuri na ukienda kinyume nayo utakua na maisha magumu. Sheria hiyo inaitwa karma. Karma ni sheria ya asili ambayo inamrudishia mtu kile ambacho amekitoa kwa mwingine. Kwa mfano, ukimfanyia mtu kizuri, …

Hakuna Kifo Kibaya Kama Hiki

Memento Mori#2Death is not the greatest loss in life. The greatest loss is what dies inside us while we live. – Norman Cousins Kifo kibaya na kikubwa ni kile ambacho watu huwa wanakufa na utajiri ndani yao wakati wakiwa hai.Kifo siyo kitu kikubwa kama kufa ukiwa hujatimiza ndoto yako ambayo iko ndani yako. Fikiria vitu …

Kama Limepangwa Kutokea Litatokea Tu

Kwa sababu mambo mengi yanayotokea yako nje ya uwezo wako. Huwezi kuzuia baridi au jua lisitoke. Huwezi kuzuia mtu asife kwani vitu vingine viko nje ya uwezo wako huwezi kuvidhibiti kamwe. Watu wengine wanajikuta wao ndiyo viranja wa dunia. Wanataka mambo yaende kama vile wanavyotaka wao. Huwezi kudhibiti tukio fulani lisitokee. Kama limepangwa kutokea litatokea …

Jinsi Ya Kuwa Na Hekima Kwa Njia Rahisi

¬† Watu wengi wanaweza kujiuliza je nina wezaje kuwa na hekima? Hili ndiyo swali ambalo linaulizwa na watu wengi. Iko njia rahisi ya kuweza kuwa na hekima katika maisha yetu nayo ni kutumia akili. Kwa kuwa sisi ni binadamu tulioumbwa kwa jinsi ya ajabu tumepewa akili kubwa ya kuweza kujua zuri na baya. Kwa kutumia …

Ifahamu Sheria Kubwa Ya Asili

Mpendwa rafiki yangu, Heri ya mwezi machi,natumaini unaendelea vema kuwa bora kila siku na kuhakikisha unafikia malengo yako. Sisi binadamu wote tuko katika mwendo, kwanza tokea unazaliwa moyo wako haujawahi kusimama kufanya kazi hivyo siku utakaposima na wewe ndiyo utakua mwisho wako hapa duniani. Miili yetu kiasili iko katika mwendo. Kila kitu kipo katika mwendo, …

Ushauri Wa Mwanafalsafa Epictetus Kwa Mtu Yeyote Anayetaka Kufanikiwa

Heri ya mwezi agasti rafiki yangu, Natumaini hujambo na unaendelea vizuri. Niendelee kukutakia kila la heri katika mwezi huu wa nane tunaoanza nao leo. Unaweza kufanya kitu chochote leo na kubadilisha maisha yako. Zaidi ya miaka elfu mbili mafundisho ya wanafalsafa bado yako hai na yanaendelea kutumika katika jamii yetu. Licha¬† ya wanafalsafa hawa kuishi …

Kama Unajali Wengine Wanasema Nini Kwenye Maisha Yako

Rafiki, Kila mtu ni kiongozi wa maisha yake. Hakuna mtu mwingine anayejua zaidi kuhusu wewe kama wewe. Wewe ndiyo bosi wa maisha yako lakini cha kushangaza wako watu hawajali maisha yao bali wanajali kile wanachosema wengine. Utakua ni mtu wa ajabu pale unapoacha kujali yako na kujali mambo ambayo hayakuhusu. Kama wewe ndiyo mkurugenzi wa …

Jinsi Ya Kuepuka Kufanya Maamuzi Ya Kuongozwa Na Hisia

Karibu maamuzi mengi wanayofanya watu duniani yanaongozwa na hisia. Watu wengi hawapendi kufikiri kwani kufikiri ni moja ya kazi ngumu duniani. Kama ingekuwa tunafikiri kabla tusingekuwa tunafanya maamuzi ya hisia. Wengi wetu tunaendeshwa na hisia kuliko kuongozwa na akili. Tunanunua kwa hisia na siyo kwamba kwa uhitaji, bali ule msukumo wa hisia unavyofanya mambo ndani …