Pata picha umeenda stendi na kupanda gari halafu unamuuliza swali dereva, hii gari inaenda wapi?Dereva anakujibu sijui hata inaenda wapi. Hatua ya kwanza utakayochukua kabla ya mengine ni kushuka kwanza ili usije ukapotea zaidi. Hii ina maana gani? Kama bado hujajua kule unakokwenda ni bora usiendelee na safari. Kwa sababu utaendelea kupotea zaidi. Usiongeze mwendo …
Category Archives: Uncategorized
Usikubali Anayekuonea Aendelee Na Uonevu Wake
Kwenye maisha yako unapaswa kuwa mtu imara. Usipokuwa imara utawaruhusu watu wengine wakutawale na huwezi kuwa huru kwenye maisha yako kama umetawaliwa na mtu fulani. Kwenye maisha yako usiwe mnyonge kabisa, jiamini, na simamia kile unachokiamini. Kama unaishi bila kuvunja sheria za asili, nchi na kanuni za maadili huna cha kuhofia. Bali ishi kwa uhuru …
Continue reading “Usikubali Anayekuonea Aendelee Na Uonevu Wake”
Utajisikiaje kama Ukikosa Kupata Maarifa Haya
Habari njema kwako rafiki yangu, Pata picha mtu anavyokuwa anateseka na kupata maumivu ya ndani pale wanapokuwa wametofautina na rafiki, ndugu, jamaa au watu wa karibu. Nadhani unapata picha ya maumivu ambayo mtu anakuwa nayo pale anapokuwa ameumizwa na mwingine kwa namna yoyote ile? Utajisikiaje kama unaishi na majeraha ya nafsi huku aliyekujeruhi wala hana …
Continue reading “Utajisikiaje kama Ukikosa Kupata Maarifa Haya”
Kwenye Kila Mauzo Angalia Hiki
Angalia faida. Kwenye mauzo yoyote yale unayofanya angalia faida. Faida ndiyo kila kitu kwenye biashara, usifanye biashara kwa hasara kwa sababu hasara haitakusaidia kulipa bili wala kuendesha biashara yako. Unapofanya mauzo, kitu cha kwanza kufanya ni kuchukua mauzo kutoa gharama za mauzo. Kile kinachobakia sasa ndiyo faida yako halisi. Na ili upate faida nzuri, hakikisha …
Unaamini Kama Ninavyoamini Mimi?
Ukitaka kujua watu hawana imani na kile wanachotaka kwenye maisha yao angalia imani yao kwenye utendaji na uzungumzaji. Kifupi watu wameyafunga maisha yao kwenye gereza la imani. Watu hawana imani thabiti, wanaamini midomoni ila hawaamini kwenye vitendo. Unakuta mtu ana ndoto kubwa lakini hana imani kama inawezekana. Asikuambie mtu ukiwa na imani huwezi kushindwa kitu …
Zimebaki Siku Sita Tu Ili Tuanze Semina Ya Kuanza Mwaka 2022 Kiushindi, Karibu Ushiriki Semina
Maisha yetu ni kama mpira wa miguu, unapokuwa uwanjani huwezi kujijua kama unafanya makosa lakini unapokuwa na mwalimu anayekuangalia nje au wapenzi watazamaji wanakua wanajua kwa uhakika ni wapi unakosea ukiwa uwanjani. Hata kama uko vizuri sana kwenye kile unachofanya bado unahitaji mwalimu wako wa kukusimamia hatua kwa hatua. Usiwaone wachezaji wenyewe viwango vya juu …
Mtu Muhimu Wa Kuwa Naye Kwenye Maisha Yako
Mteja Anahitaji Kitu Hiki Kutoka Kwako
Mpatie thamani kubwa mteja wako kiasi kwamba aone kama amekuibia kwa kile alichokulipa. Ukawe na siku njema
Pata Kitabu Cha Ijue Njaa Ya Wanandoa Na Zawadi Inayodumu Mpaka Kesho
Habari rafiki yangu nikupendae, Leo ninayo habari njema kwa wakazi wa Dar Es salaam, kuanzia leo kitabu cha Ijue Njaa Ya Wanandoa kinapatikana jijini Dar Es salaam huna haja tena ya kutuma na nauli wewe ni kutoa tu oda nahitaji kitabu na kuletewa kitabu hapo ulipo. Tumekusogezea huduma karibu na kazi hii itakuwa inafanywa na …
Continue reading “Pata Kitabu Cha Ijue Njaa Ya Wanandoa Na Zawadi Inayodumu Mpaka Kesho”
Usihofie Kifo,Hofia Kuchelewa Kuishi Maisha
MEMENTO MORI..#03It is not death that a man should fear, but he should fear never beginning to live. – Marcus Aurelius Sio kifo ambacho mtu anapaswa kuogopa. Unapaswa kuogopa kwa ninihujaanza kuishi Maisha yako. Watu wanapoteza muda mwingi katika kufikiria kifo badala ya kuishi maisha. Usihofie kifo kwa sababu kifo kitakuja kwa namna yoyote ile …
Continue reading “Usihofie Kifo,Hofia Kuchelewa Kuishi Maisha”