Mpendwa rafiki yangu, Karibu matatizo mengi yanayosababishwa na watu mengi yanaanzia kwenye midomo yetu. Midomo yetu inachangia kufanya matatizo mengi kuibuka. Hakuna mtu ambaye anaweza kwenda kugombana na mtu ambaye ni bubu eti kwa sababu amemsema vibaya. Huwezi kuangaika na bubu kwa sababu unajua bubu haongei lakini sisi tunaoongea tunaua watu wengi kwa ndimi zetu. …
Mambo Mawili Yanayopatikana Pale Fedha Inapokuwa Nyingi Kwenye Mzunguko
Mpendwa rafiki yangu, Fedha ni jawabu la mambo yote hilo kila mtu analijua hilo. Kila mmoja wetu anahitaji fedha kila siku ili kuendesha maisha yake. Ukiwa na fedha nyingi zitakuwezesha kupata kile unachotaka kwenye maisha yako. Lakini umasikini hauna faida yoyote kwani haukusaidii kulipa bili. Namshangaa yule mtu anayejivunia sifa ya umasikini na kuona ni …
Continue reading "Mambo Mawili Yanayopatikana Pale Fedha Inapokuwa Nyingi Kwenye Mzunguko"
Ukicheza Namba Hii Lazima Utafanikiwa
Mpendwa rafiki, Katika mchezo wa mpira wa miguu na hata michezo mingine kila mtu ana cheza namba yake uwanjani. Kila mtu anaingia uwanjani huku akijua anakwenda kufanya nini. Kila namba ina majukumu yake uwanjani. Na ikitokea mtu anacheza namba siyo yake anaacha namba yake lazima italeta madhara. Kwa mfano, golikipa atoke namba moja akacheze nafasi …
Hiki Ndicho Unachopaswa Kumpa Mtu Anayekuamini
Mpendwa rafiki yangu, Hakuna adimu katika dunia ya sasa kama uaminifu. Unaweza kupata vingi kwenye dunia ya sasa lakini tukija kwenye uaminifu unakuwa ni adimu sana. Uaminifu ni tabia ya mtu, kama mtu ni mwaminifu kwake yeye mwenyewe ni rahisi kuwa mwaminifu kwa watu wengine. ukiona mtu ni mwaminifu kwa nje basi hata kwa ndani …
Continue reading "Hiki Ndicho Unachopaswa Kumpa Mtu Anayekuamini"
Kabla Hujaenda Kulala Hakikisha Unajivunia Jambo Hili Moja
Rafiki, Hakuna mtu anayeamka na kujua atakwenda kukutana na nini katika siku yake. Hivyo basi mara nyingi siku inakuwa na mambo mengi, hata kufanikisha kile ulichopanga kufanya ni jambo la kushukuru sana maana kila siku huja na mambo yake ambayo mengine yapo nje ya uwezo wetu. Licha ya changamoto zote za siku, na kama tunavyojua …
Continue reading "Kabla Hujaenda Kulala Hakikisha Unajivunia Jambo Hili Moja"
Hata Kama Una Kipato Kikubwa Kiasi Gani Ishi Maisha Haya
Haijalishi unalipwa kipato kikubwa kiasi gani, unaingiza sana fedha ila ukikosa kitu ambacho nakwenda kukushirikisha hapa wewe utakua ni masikini tu. Kuna watu wanakusanya kweli pesa lakini wanatumia zote wanabakiwa watupu wakiwa hawana kitu. Unapata elfu kumi unatumia yote elfu kumi,kwa mtindo huo utaweza kutoboa? Ili ufanikiwe eneo la fedha unahitaji kujua mchezo wa fedha. …
Continue reading "Hata Kama Una Kipato Kikubwa Kiasi Gani Ishi Maisha Haya"
Chanzo Cha Matatizo Mengi Ni Hiki Hapa
Tumepewa masikio mawili ili tuweze kusikiliza mara mbili. Angalia katika mwili wako kuna viungo ambavyo umepewa viwili na kingine kimoja. Viungo ambavyo tumepewa viwili hatuvitumii vizuri kabisa lakini vile ambavyo haviko zaidi ya kimoja ndiyo unatakuta tunavitumia vizuri kweli. Kwa mfano, mdomo. Tumepewa mdomo mmoja maana yake tunatakiwa kukaa kimya sana kuliko kuongea lakini ndiyo …
Kama Umeshawahi Kufanya Kosa Lolote Lile Soma Hapa
Mpendwa rafiki yangu, Ni nina ushahidi mkubwa kuwa kila mmoja wetu katika maisha yake ameshawahi kukosea kwa nmna moja au nyingine. Kukosea ni asili ya binadamu. Binadamu tuna udhaifu sana katika kukosea na katika kukosea ndiyo tunajifunza na kuwa imara. Hakuna aliyekamilika kwa asilimia mia moja sisi sote tuna udhaifu wa kibinadamu. Mara nyingi pale …
Continue reading "Kama Umeshawahi Kufanya Kosa Lolote Lile Soma Hapa"
Kwenye Jambo Lolote Hakikisha Unakuwa Na Kitu Hiki
Mpendwa rafiki yangu, Mara nyingi kila kitu hapa duniani kinaongozwa na kanuni za asili. Huwa tunapokuwa tunakwenda kufanya kinyume na kanuni za asili, asili huwa inatuadhibu vibaya bila huruma. Kila kitu kwenye maisha yetu kinahitaji kiasi. Na kiasi ndiyo asili sasa ya dunia. Tunapozidisha sana asili huwa haituachi salama. Hebu angalia sana, yule anayekula sana …
Continue reading "Kwenye Jambo Lolote Hakikisha Unakuwa Na Kitu Hiki"
Watu wanasema nini juu yako?
Mpendwa rafiki, Kwa kila binadamu aliyehai basi hakuna ambaye hasemwi kwa namna yoyote ile, kama husemwi basi ujue umeshakufa. Ambaye hana changamito ni yule aliyelala kaburini lakini kama unaishi bado utahusika na mengi. Watu milioni 50 wakisema jambo la kipumbavu bado ni jambo la kipumbavu alisema Anatole France. Watu wakikusema vibaya kama sivyo ulivyo hata …