Design a site like this with WordPress.com
Get started

Mtaalamu.net/KessyDeo ni mtandao wa kijamii (blog) unaotoa mafunzo, elimu na habari kwa watanzania ni namna gani wanaweza kutumia fursa zinazowazunguka na kubadili mtazamo wa maisha.
Pia,inatoa elimu ya kujitambua katika nyanja za ijamii, uchumi, familia, biashara, malezi ya watoto na saikolojia ,maisha ya ndoa, uchumba na nk.
Mtaalamu.net/KessyDeo lengo lake ni kutoa elimu na mafunzo kwa wahitaji wote wanaoguswa ili kuishi maisha ya furaha, amani ,upendo na mafanikio na kuachana na maisha ya kukata tamaa na hatimaye kuishi maisha ya hamasa yanayoleta maendeleo binafsi na taifa kwa ujumla.
Dunia ya sasa inahitaji mtu mwenye taarifa sahihi kwa wakati sahihi ili aweze kufanikiwa kwani maarifa sahihi ni dira inayokuongoza uelekeo wowote unaotaka kufika.
Hivyo basi,Kujitambua ni zawadi na maarifa ndio nidhati yako muhimu katika safari ya mafanikio.
HUDUMA ZETU
Mtandao wa http://www.mtaalamu.net/kessydeo unatoa huduma zifuatazo kwa watu wote wenye uhitaji.
Huduma zetu ni kuuza vitabu vya mfumo wa nakala tete yaani soft copy, uchambuzi wa makala za vitabu, ushauri katika mambo ya mahusiano, malezi ya watoto na saikolojia, ujasiriamali na biashara, jumbe za hamasa, misingi imara ya kuishi ya falsafa.
MAWASILIANO
Tunaweza kuwasiliana kupitia namba 0717101505 /0767101504 au barua pepe deokessy.dk@gmail.com na kessydeo@mtaalamu.net

%d bloggers like this: