Habari Mpendwa Rafiki na Msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? natumaini uko vizuri rafiki na pole kwa changamoto unazopitia katika maisha yako. Rafiki, karibu sana katika makala yetu ya leo ambapo leo nitakwenda kukushirikisha uchambuzi wa kitabu. Kitabu hiki kinatupa umuhimu wa viongozi kujenga timu imara ili waweze kufikia kile ambacho wanakitaka. karibu tujifunze rafiki. …
Continue reading "Mambo Muhimu Unayoweza Kujifunza Katika Kitabu Cha Smart Leaders Smarter Teams"