Tajiri namba moja duniani Elon Musk hivi karibuni amenunua mtandao wa Twitter. Kwa kuwa huyu Bilionea ni mtu anayeamini kwenye kazi sana, hivyo amewataka wafanyakazi wake wafanye kazi sana. Amewaambia wana machaguo mawili,Moja wafanye kazi masaa mengiMbili au waondoke. Hapa tunajifunza kwamba, kazi ndiye rafiki wa kweli. Huwezi kupata mafanikio makubwa kwa kufanya kazi masaa …
Hii Ndiyo Biashara Inayofanikiwa
Unaweza kufikiria biashara inayofanikiwa ikoje? Hebu pata picha. Biashara inayofanikiwa siyo ile inayokuwa bora, bali ile inayokuwa ya kwanza kwenye akili za wateja. Je, watu wakiwa wanataka huduma unayotoa, huwa wanaifikiria biashara yako? Kama biashara yako haiko kwenye akili za watu ni ngumu kufanikiwa. Kwa chochote kile unachouza, hakikisha watu wanajua unauza nini, watu huwa …
Umuhimu Mkubwa Wa Kuimarisha Mahusiano Yako
Iko hivi rafiki yangu nikupendaye, Kwa chochote kile unachotaka kwenye maisha yako, utakipata kwa watu wengine. Mafanikio unayotaka kuyaona kwenye maisha yako, watakaokusaidia kupata ni watu wengine. Kifupi kile tunachotaka tutakipata kupitia watu wengine, watu wanakutegemea ili wafanikiwe kupitia wewe. Unahitaji kuwa na mtandao wa watu ambao wanaweza kukusaidia kwenye maeneo mbalimbali na wewe pia …
Continue reading "Umuhimu Mkubwa Wa Kuimarisha Mahusiano Yako"
Njia nzuri Ya Kukabiliana Na Kumbukumbu Zinazokufanya Ulie
Kama kumbukumbu za nyuma zinakufanya ulie, ziandike kwenye karatasi kwa umakini na ukamilifu. Huwa tunapitia mengi, wako ambao wametujeruhi mioyo yetu na kutuachia majeraha moyoni. Wakati mwingine kumbukumbu tunazobeba, zinaweza kuwa mzigo kwetu na unaoturudisha nyuma, tunahitaji kuutua. Sasa kitendo tu cha kuandika zile kumbukumbu, unakuwa umekitua kutoka kwenye akili yako na kinaacha kuwa mzigo …
Continue reading "Njia nzuri Ya Kukabiliana Na Kumbukumbu Zinazokufanya Ulie"
Fanya Kitu Hiki Muhimu Kwako
Fanya kile ambacho ni muhimu kwako na siyo ambacho ni rahisi kwako. Kwa sababu, kila mtu anataka kukata kona, kila mtu anatafuta njia ya mkato ya mafanikio. Kila mtu anatafuta njia ya kupata fedha bila ya kufanya kazi. Usiwe katika watu hao, wewe fanya kazi halali na upate fedha halali. Usitafute kilicho rahisi, kwa sababu …
Vitu Vya Kuzingatia Kwa Muuzaji
Kitu cha kwanza kinachowasukuma watu kununua ni haiba ya muuzaji. Na haiba ya mtu inatokana na tabia ambazo mtu anazo. Ili kufanikiwa kwenye jambo lolote, unahitaji kuwa na tabia nzuri ambazo zinawafanya watu kukubaliana na wewe. Kumbuka ndege wanaofanana huruka pamoja, hivyo kuwavutia watu wa aina fulani, lazima uwe kama wao. Hatua ya kuchukua leo; …
Mambo Mawili Ya Kuzingatia Katika eneo La Fedha
Moja, USICHEZE NA HELA. Kuwa makini na hela zako, zisimamie vizuri na wekeza sehemu salama unayoweza kuifuatilia kwa umakini. Mbili, USIENDE MAHALI NA FEDHA UNAYOTAKA KUTUMIA TU. Kwa kifupi kwenye maisha usiwe na kiasi cha fedha unachohitaji kwa matumizi tu, unahitaji kuwa na kiasi cha fedha kwa ajili ya dharura. Hatua ya kuchukua leo; USICHEZE …
Continue reading "Mambo Mawili Ya Kuzingatia Katika eneo La Fedha"
Unakuwa Wa Maana Pale Unapofanya Hiki
Rafiki yangu nikupendaye, Kwenye maisha unakuwa wa maana pale unapotimiza wajibu wako. Kwenye biashara unakuwa wa maana pale unapotekeleza wajibu wako kwenye biashara. Na ustaarabu wa kwanza kwenye biashara ni kuuza na kama huuzi kwenye biashara basi unapoteza maana. Unapoteza maana kama uko kwenye kazi fulani halafu huifanyii kazi hiyo kazi. Unapoteza maana kwenye mahusiano …
Zifahamu Tabia Mbili Za Watu
Sina uhakika kama itakufaa lakini watu wana tabia kuu mbili nazo ni; Kwanza watu ni viumbe wa kijamii kwa sababu wanawapenda na kuwajali watu ambao wapo ndani ya kundi moja. Nafikiri hili halina ubishi, binadamu ni watu wa ambao tunajali wale ambao tupo kundi moja. Kwa mfano, shabiki wa timu x atamjali shabiki timu x …
Usimwambie Mtu, Nimekuambia Wewe Tu
Ni maneno ambayo watu huyatumia kujihakikishia usalama pale wanapotoa jambo lao kwa watu wengine. Usijidanganye kwamba ukimwambia mtu hivyo ndiyo mambo yatakuwa safi bali ndiyo kama vile umemwambia fanya. Kama una jambo lako na unataka watu wasijue ni bora usiseme kabisa kuliko kusema halafu unamwambia nimekuambia wewe tu lakini usimwambie mtu mwingine.Wimbo unakuwa ni mmoja …