Design a site like this with WordPress.com
Get started

Njia nzuri Ya Kukabiliana Na Kumbukumbu Zinazokufanya Ulie

Kama kumbukumbu za nyuma zinakufanya ulie, ziandike kwenye karatasi kwa umakini na ukamilifu.

Huwa tunapitia mengi, wako ambao wametujeruhi mioyo yetu na kutuachia majeraha moyoni.

Wakati mwingine kumbukumbu tunazobeba, zinaweza kuwa mzigo kwetu na unaoturudisha nyuma, tunahitaji kuutua.

Sasa kitendo tu cha kuandika zile kumbukumbu, unakuwa umekitua kutoka kwenye akili yako na kinaacha kuwa mzigo tena kwako.

Umebeba mizigo mingapi kwenye maisha yako? Unachotakiwa kufanya ni kuitua hiyo mizigo ili uendelee na maisha yako.

Hatua ya kuchukua leo; Samehe hata kwa kulia machozi ili uondoe uchukue wote ulioumbika ndani ya moyo.

Samehe hata kwa kuandika kwenye karatasi kumbukumbu zote za nyuma zinazokufanya ulie.

MUHIMU;
Kama bado hujajiunga na kundi la wasapu la Mimi ni Mshindi jiunge leo kwani kuna maarifa mengi unayakosa ambayo sikushirikishi hapa.

Kujua ni maarifa gani hayo na jinsi ya kujiunga nitumie ujumbe wasapu kwa namba 0717101505. Kupata vitabu vizuri vya kujisomea kwa lugha  ya kiswahili wasiliana kwamba namba 0717101505.

Rafiki Na Mwalimu Wako, Afisa Mhamasishaji Mkuu (CIO)Chief Inspiration Officer.

Mwl. Deogratius Kessy

0717101505 au 0767101504
https://kessydeo.home.blog

Leave a comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: