Sina uhakika kama itakufaa lakini watu wana tabia kuu mbili nazo ni;
Kwanza watu ni viumbe wa kijamii kwa sababu wanawapenda na kuwajali watu ambao wapo ndani ya kundi moja. Nafikiri hili halina ubishi, binadamu ni watu wa ambao tunajali wale ambao tupo kundi moja. Kwa mfano, shabiki wa timu x atamjali shabiki timu x mwenzake.
Pili, watu siyo viumbe wa kijamii kwa sababu hawawajali wale ambao hawapo nao kundi moja. Na hili pia liko wazi kabisa unaweza kujionea mwenyewe kwenye maisha yako.
Upendeleo ni tabia ya kawaida ya binadamu, watu huanza kuwajali wale ambao wapo nao kundi moja kabla ya kuwajali walio kwenye kundi tofauti.
Hatua ya kuchukua leo; Jua asili ya binadamu ni upendeleo na kuna aina kuu mbili za watu.
Kwahiyo, ukitaka kukubaliana na watu kuwa upande wao ndiyo njia pekee na rahisi ya kuweza kupata kile unachotaka kutoka kwao.
MUHIMU;
Kama bado hujajiunga na kundi la wasapu la Mimi ni Mshindi jiunge leo kwani kuna maarifa mengi unayakosa ambayo sikushirikishi hapa.
Kujua ni maarifa gani hayo na jinsi ya kujiunga nitumie ujumbe wasapu kwa namba 0717101505. Kupata vitabu vizuri vya kujisomea kwa lugha ya kiswahili wasiliana kwamba namba 0717101505.
Rafiki Na Mwalimu Wako, Afisa Mhamasishaji Mkuu (CIO)Chief Inspiration Officer.
Mwl. Deogratius Kessy
0717101505 au 0767101504
https://kessydeo.home.blog