Design a site like this with WordPress.com
Get started

Mambo Mawili Ya Kuzingatia Katika eneo La Fedha

Moja, USICHEZE NA HELA.

Kuwa makini na hela zako, zisimamie vizuri na wekeza sehemu salama unayoweza kuifuatilia kwa umakini.

Mbili, USIENDE MAHALI NA FEDHA UNAYOTAKA KUTUMIA TU.

Kwa kifupi kwenye maisha usiwe na kiasi cha fedha unachohitaji kwa matumizi tu, unahitaji kuwa na kiasi cha fedha kwa ajili ya dharura.

Hatua ya kuchukua leo; USICHEZE NA HELA
USIENDE MAHALI NA FEDHA UNAYOTAKA KUTUMIA TU.

Kila mara yanatokea mambo ambayo hatukutegemea yatokee, kama hujaweka fedha ya dharura, utapata shida na kujikuta unaingia kwenye madeni.

MUHIMU;
Kama bado hujajiunga na kundi la wasapu la Mimi ni Mshindi jiunge leo kwani kuna maarifa mengi unayakosa ambayo sikushirikishi hapa.

Kujua ni maarifa gani hayo na jinsi ya kujiunga nitumie ujumbe wasapu kwa namba 0717101505. Kupata vitabu vizuri vya kujisomea kwa lugha  ya kiswahili wasiliana kwamba namba 0717101505.

Rafiki Na Mwalimu Wako, Afisa Mhamasishaji Mkuu (CIO)Chief Inspiration Officer.

Mwl. Deogratius Kessy

0717101505 au 0767101504
https://kessydeo.home.blog

Leave a comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: