Hawa Ndiyo Wateja Wazuri

Ukiwa katika mauzo hakuna mteja mzuri kama yule ambaye anajua nini haswa anataka. Mteja anayejua kile anachotaka ni rahisi kumhudumia na kumpatia huduma bora. Mteja anayejua kile anachotaka anakuokolea muda. Ukilinganisha na mteja ambaye hajui nini anataka mpaka umweleweshe kila bidhaa kisha achukue maamuzi inachukua muda mrefu kukuelewa na kuchukua hatua ya kufanya manunuzi. Kila …

Usitaharuki Unapokutana Na Changamoto Bali Nunua Hiki Hapa

Unapokutana na changamoto hutakiwi kutaharuki badala yake unatakiwa kununua utulivu wa hali ya juu. Karibu sana ujiunge na Mimi Ni Mshindi Klabu ili uweze kupata mafunzo mbalimbali ninayoendelea kuyatoa. 0717101505 kwa mawasiliano ya jinsi ya kujiunga. Kwani, unapotaharuki uwezo wako wa kufanya maamuzi sahihi kifikra unakuwa chini na hisia zinakuwa juu. Huwezi kuamua jambo wakati …

Kuwa Tayari Kujikosoa Hata Wewe Mwenyewe

Mara nyingi tunapokutana na changamoto au tatizo huwa tuna kitu ambacho tunakihisi ndiyo kimesababisha au kuna kitu tunafikiria ndiyo kitatatua. Wakati mwingine tukishaweka mawazo yetu hivyo, tunakuwa hatuwezi kujifunza tena njia mbadala za kutatua au kusababisha. Unahitaji kuwa tayari kujikosoa wewe mwenyewe, kujiambia kwamba unachofikiri siyo pekee na hivyo kufikiri zaidi na kuona njia unayofikiri …

Mchezo Unaongoza Kuchezwa Na Watu Wengi

Ni mchezo wa kulaumu. Huwa tunashiriki mchezo wa kulaumu, kwa kuangalia mtu wa kumnyooshea kidole ambaye anahusika na kile ambacho kimetokea. Tatizo lolote lile linapotokea, huwa tunatafuta mtu wa kumlaumu na mara nyingi mtu wa kumlaumu huwa hakosekani kabisa. Lakini, kwenye kila tunacholaumu, huwa tunajionesha sisi zaidi kuliko hata wale tunaowalaumu.. Tuache kuangalia wengine kama …

Haya Ni Mateso Ya Kujitakia Kwenye Maisha

Kinachotusumbua kwenye maisha, ni pale tunapojilinganisha na wengine na kuona kwa sababu wengine wana zaidi, basi na sisi tunapaswa kuwa na zaidi. Tunajikuta tunakazana kupata zaidi, siyo kwa sababu tunahitaji kweli ila ni kwa sababu wengine wana zaidi. Pata nakala yako leo kwa bei ya ofa ya shilingi elfu 5 badala ya elfu 10. Piga …

Jinsi Ya Kulainisha Mahusiano Yako

Mahusiano yetu yanakuwa magumu wakati mwingine kwa sababu kuu moja ambayo ni kukosa mawasiliano. Kama unavyojua kitu kikiwa kigumu kinatakiwa kilainishwe ili kupatikana kwa ulaini. Mahusiano yetu yanakuwa magumu endapo yakikosa mawasiliano mazuri. Kitu ambacho kinaweza kulainisha mahusiano yetu ni mawasiliano na wale ambao tunahusiana nao. Kila unayehusiana naye anahitaji muda wako na usipompatia muda …

Maneno Ambayo Huruhusiwi Kumwambia Bosi Au Mteja Wako

Kama umeajiriwa basi kuna maneno hupaswi kumwambia mwajiri au bosi wako. Badala ya kusema siwezi au siyo jukumu langu sema tu nitafanya halafu jifunze namna gani utafanya. Au omba msaada wa namna ya kufanya lakini siyo kusema huwezi au siyo jukumu lako. Na kama umejiajiri au unafanya biashara jua kabisa bosi wako ndiyo mteja wako. …

Faida Ya Juhudi Unazoendelea Kuweka

Kiasili juhudi yoyote unayoweka, huwa haipotei bure. Kila juhudi unayoweka kwenye eneo lolote lile la maisha yako litazaa matunda mazuri. Ukiweka juhudi kwenye kuongeza kipato chako zaidi, utapata matokeo mazuri unayotaka kuyaona. Hata kama kwa sasa huyaoni yatakuja kukulipa baadaye. Jipatie nakala yako leo kwa bei ya ofa shilingi elfu 5 tu, 0717101505/0767101504 piga namha …

Hawa Ndiyo Watu Ambao Wanafanikiwa Sana Duniani

Ni wale ambao wana uwezo wa kuuza, wale ambao wanaweza kuuza wanafanikiwa kuliko wasioweza kuuza. Kadiri mtu anavyokuwa bora kwenye kuuza, ndivyo anavyoweza kupiga hatua zaidi. Watu wa mauzo ni moja ya watu wenye mafanikio makubwa sana kwa ujumla ukilinganisha na watu wengine. Ndiyo maana kila mmoja anapaswa kujifunza mbinu za mauzo kwa sababu kila …

Dunia Itafanya Njama Na Wewe

Pale unapojitoa kweli kupata kile unachotaka kwenye maisha yako, dunia inakuwa inafanya njama na wewe kuhakikisha unapata kweli kile unachotaka kwenye maisha yako. Jitoe sana kwenye kile unachotaka hata kama hujui utapateje lakini wewe amini, nia yako na uthubutu wako utaifanya dunia kufanya njama na wewe upate kile unachotaka. Amini kweli, kila kitu kinawezekana kama …

Design a site like this with WordPress.com
Get started