Natumaini kama unasoma hapa, huna lengo la kuwa masikini. Bali lengo lako kuu ni kuwa tajiri. Tunapaswa kuungana wote duniani kupambana na adui ambaye anatesa watu ambaye ni umasikini. Umasikini ni laana, tupambane usiku na mchana kumtokomeza adui huyu ambaye kwa sasa ameshaota mizizi. Na umasikini wa watu wengi hauko mfukoni bali uko kwenye akili. …
Continue reading "Vitu Viwili Vitakavyokufikisha Kwenye Utajiri"