Vitu Vingi Ambavyo Watu Wamezoea Kufanya Siyo Sahihi

Rafiki yangu, Kuna vitu kwenye maisha huwa vinaonekana ni vya kawaida, kwamba kila mtu anajua ndivyo inavyopaswa kuwa, lakini unapochunguza vizuri kwa ndani, unagundua siyo vya kawaida kama wengi wanavyofikiri. Vitu vingi ambavyo watu wamezoea kufanya siyo sahihi. Ni rahisi kukubali kufanya kitu kwa sababu kila mtu anafanya na kuona kwa kuwa wengi wanafanya basi …

Unaamini Kama Ninavyoamini Mimi?

Ukitaka kujua watu hawana imani na kile wanachotaka kwenye maisha yao angalia imani yao kwenye utendaji na uzungumzaji. Kifupi watu wameyafunga maisha yao kwenye gereza la imani. Watu hawana imani thabiti, wanaamini midomoni ila hawaamini kwenye vitendo. Unakuta mtu ana ndoto kubwa lakini hana imani kama inawezekana. Asikuambie mtu ukiwa na imani huwezi kushindwa kitu …

Kazana Na Kitu Hiki Kwenye Maisha Yako

Kazana na kile unachotaka. Yape talaka yale yote ambayo hayakupi kile unachotaka. Zama ndani kabisa kwenye kile unachotaka, fanya kwa ubora wa hali juu kuliko mtu mwingine yeyote yule. Iko hivi rafiki yangu, kwenye maisha, tunapata kile ambacho tunapigania. Mfano mzuri jiangalie wewe mwenyewe, unapata kile ambacho wewe mwenyewe unakipigania sana na unavikosa vile ambavyo …

Adui Tunayepambana Naye Ni Mmoja Tu

Unapoamka asubuhi amka na lengo la kwenda kushirikiana na wenzako, shirikiana na wenzako kama timu kwa sababu adui tunayepambana naye ni mmoja tu. Adui huyo ni umasikini. Kila mtu anatakiwa kupambana kweli na adui huyu wa umasikini. Usipofanya kazi vizuri, ni rahisi kumkaribisha adui huyu tunayepambana naye ambaye ni umasikini. Maisha ni vita, na adui …

Kutoa Hela Kuna Uma Kweli, Mfanye Mteja wako Aondoke Akiwa Anajisikia Raha

Kwa saikolojia ya binadamu hakuna kitu kinauma kama kutoa hela. Kwa sababu mtu amepata hela zake kwa shida halafu akifikiria kuzitoa anapata uchungu kweli. Watu hawapendi kujitenganisha na hela zao. Unaponunua kitu au kutoa fedha maana yake unakuwa umejitenganisha na fedha zako hazirudi tena. Kama kutoa hela kuna uma, unatakiwa umfanye mteja wako aondoke akiwa …

Utajiri Huwa Unaanza Kutengenezwa Sehemu Hii Hapa

Mchezo mzima wa mafanikio uko kwenye akili. Huwezi kupata kitu ambacho hujaruhusu akili yako ikipokee. Kile wanachopata watu ndicho walichotengeneza kwenye akili yao. Huwezi kupokea kitu ambacho hujakiumbwa kwenye akili yako. Mafanikio yamejengwa kwenye akili za watu. Unafikiria nini muda wote? Kile unachofikiria muda wote ndicho unachopata kwenye maisha yako. Hata kama maisha yako unapitia …

Waepuke Marafiki Hawa Wawili Na Kuwa Na Rafiki Huyu Tu

Urafiki ni kitu muhimu sana kwenye maisha yetu. Na zana ya kujenga na kuimarisha mahusiano ni mawasiliano. Mwanafalsafa Aristotle enzi za uhai wake alisisitiza sana umuhimu wa urafiki kupitia maandiko ya kifalsafa. Na alifanikiwa kugawa urafiki kwenye ngazi tatu. Ngazi ya kwanza ni urafiki wa faida au urafiki wa nipe nikupe.Huu ni urafiki ambao unajengeka …

Hizi Ndizo Raha Za Biashara

Kila kitu kina raha na kero yake. Kazi au biashara ina raha na shida zake kifupi kwenye kila utakachochagua kufanya lazima utakukutana na vizuizi vya kila aina lakini pia utakua unapata raha fulani. Kwa mfano, mtu anayefanya chochote kile, kuna raha ambayo anaipata ndani yake ambayo wewe huwezi hata kuiona kwa macho. Kwenye shabaha yetu …

Siwezi Kuishi Bila Yeye, Kwa Sababu Yeye Ndiyo Kila Kitu Kwangu

Ni kauli za watu ambao wako katika mahusiano ya kimapenzi. Lakini siyo kweli, eti kwamba huwezi kuishi bila yeye kwa sababu yeye ndiyo kila kitu kwako. Alikuambia nani dunia iko hivyo? Usipende kujipa vizuizi vingi kwenye maisha yako, maisha tayari ni magumu na wewe unayafanya kuwa magumu zaidi kwa kujiongezea mzigo kwamba huwezi kuishi bila …

Kama Unataka Kuuza Sana Zingatia Haya

Katika kazi, biashara au huduma yoyote unayotoa wako watu wa madaraja tofauti. Kwa kulijua hilo, unapaswa kujua una hudumia watu wenye madaraja tofauti. Ili wote uweze kuwahudumia, unatakiwa sasa utofautishe bidhaa, uwe na bidhaa za madaraja tofauti, yaani uwe na daraja la juu kabisa, la kati na la chini. Kwa mfano, hata katika usafiri wa …

Design a site like this with WordPress.com
Get started