Pata nakala yako leo kwa bei ya punguzo, badala ya elfu 10, pata kwa shilingi elfu 5 tu. 0717101505 wasiliana kwa namba hiyo kupata kitabu chako. Unafikiria nini? Kile unachofikiria ndiyo kinakua. Kile ambacho unatumia muda mwingi kukifikiria kwenye maisha yako, ndiyo ambacho kinakua zaidi na kuwa maisha yako. Ukifikiria mawazo hasi unapata matokeo hasi, …
“Kwa Mkapa Hatoki Mtu”
Ni kauli ya hamasa ambayo klabu ya Simba nchini Tanzania huwa wanaitumia pale wanapokuwa wanacheza na timu inayotoka nje ya Tanzania. Pata nakala yako leo kwa bei ya ofa ya shilingi elfu 5, kupata kitabu chako wasiliana nasi kwa namba 0717101505/0767101504 Imekuwa ni kauli ambayo huwa inawapa hamasa na hatimaye wanaitumia vizuri sana kuhakikisha hakuna …
Ili Watu Wakuamini Onesha Kitu Hiki Hapa
Kuna nukuu moja ambayo taifa la Marekani wanaliishi ninalosema, In God we trust, all others must bring data. Wakiwa wanamaanisha kwamba, wanamwamini Mungu tu, lakini watu wengine lazima walete taarifa. Unaweza ukautumia kwenye maisha yako kwa sababu unafanya kazi na watu, muamini Mungu tu lakini watu wengine lazima wakuoneshe ushahidi, wakuoneshe namba. Kitu chochote kile …
Hii Ndiyo Njia Nzuri Ya Kuwapenda Watu
Njia bora kabisa ya kuwapenda watu ni kuwakubali kama walivyo. Kila mtu ana tabia zake, kila mtu ana upekee wake, uimara na udhaifu wake. Tunaweza kunufaika na wale watu wetu wa karibu kwa kuwapenda kama walivyo. Aliyekuwa raisi wa Marekani Abraham Lincoln aliwahi kunukuliwa akisema, ukitafuta ubaya kwa mtu tegemea kuupata. Kazi yetu siyo kutafuta …
Sheria Unayopaswa Kuiogopa Kwani Haina Huruma Na Mtu
Kiasili hakuna kitu kibaya wala kizuri hapa duniani. Mara nyingi huwa tunapokea kile tunachotoa. Leo nataka nikupe sheria moja ambayo ukiifuata utakua na maisha mazuri na ukienda kinyume nayo utakua na maisha magumu. Sheria hiyo inaitwa karma. Karma ni sheria ya asili ambayo inamrudishia mtu kile ambacho amekitoa kwa mwingine. Kwa mfano, ukimfanyia mtu kizuri, …
Continue reading "Sheria Unayopaswa Kuiogopa Kwani Haina Huruma Na Mtu"
Kama Unataka Kupata Mafanikio Usipuuze Eneo Hili Muhimu
Maisha yetu yako katika mfumo wa biashara. Kila mmoja wetu kuna kitu anauza au anatoa kwa wengine ndiyo maana anapata kile anachotaka. Mtu ambaye hana anachotoa kwa wengine, maisha yake yanakuwa magumu. Msingi wa kupata ni kutoa. Sasa wakati mwingine watu wengi huwa wana vitu vizuri sana ambavyo vinaweza kuwa msaada kwa wengine lakini cha …
Continue reading "Kama Unataka Kupata Mafanikio Usipuuze Eneo Hili Muhimu"
Jinsi Unavyojiona Dunia Ukiwa Umefanikiwa
Ukiwa umefanikiwa unaiona dunia tofauti kabisa na ukiwa hujafanikiwa. Kabla hujafanikiwa unakuwa unajali sana watu wanakuchukuliaje na hii inakuwa inapelekea kufanya vitu kuwaridhisha wengine. Ukishaanza kujali sana wengine wanakuchukuliaje, inakuwa kikwazo kwako kukuzuia kufanikiwa zaidi. Lakini, ukiwa umefanikiwa unakuwa hujali sana watu wanakuchukuliaje, kwa sababu unajua hilo halina athari kwenye mafanikio yako.Kitu ambacho kinakufanya ufanikiwe …
Continue reading "Jinsi Unavyojiona Dunia Ukiwa Umefanikiwa"
Ili Uweze Kufanikiwa Kwenye Safari Ya Mafanikio Makubwa Lazima Mwenza Wako Akupe Kitu Hiki
Watu ambao wako kwenye ndoa huwa wanakutana na upinzani mkubwa hususani pale mmoja wa ndoa anatapotaka kuthubutu kitu au anapokuwa na ndoto kubwa. Kikawaida jamii zetu hawapendi kuona mtu akiteseka kwa mfano, ukimwambia mtu kwamba unataka kwenda kufungua biashara na yeye hafanyi biashara atakuambia biashara ni hatari, usijitese. Na watakuambia hivyo ili mradi tu wasikuone …
Hiki Ndicho Kinachokupelekea Kuwa Na Laana
Kinachokupelekea wewe kupata laana ni tabia zako. Unapata laana kwa ajili ya tabia zako mwenyewe. Kwa sababu unatengeneza tabia kisha na tabia zinakutengeneza. Kwa mfano, unatengeneza tabia za uvivu kwenye maisha yako, hujitumi halafu baadaye hufanikiwi unasema unalaana, huna bahati kumbe chanzo kikuu ni tabia ulizojijengea. Kwa mfano, wazazi wengi huwa wanaangalia tabia za watoto …
Continue reading "Hiki Ndicho Kinachokupelekea Kuwa Na Laana"
Huu Ndiyo Umuhimu wa kujifunza Historia
Uko umuhimu mkubwa sana wa kujifunza historia kwa sababu kila kitu kinachotokea duniani kwa sasa ni marudio ya yale ambayo yamewahi kutokea huko nyuma. HAKUNA kitu ambacho ni kipya kabisa bali mambo ni yale yale yanatokea kwa njia ambazo ni tofauti. Ukijifunza historia, utaona kwa nini mambo yanatokea na pia utaweza kujua hatua sahihi za …