Ni kawaida watu wakifanikiwa kidogo, mafanikio madogo huwa ni kikwazo kwao. Kamwe usiridhike na kupata mafanikio kidogo, badala unapaswa kujiweka kwenye hatari mara zote. Watu waliofanikiwa kidogo, wanakuwa wanaridhika mapema na mafanikio waliyopata na kuendelea kuyalinda. Badala ya kukazana wafanikiwe zaidi, wao wanakazana kuyalinda zaidi. Kwa mfano, timu ya mpira inapopata goli moja na kuendelea …
Chochote Unachokisema Vibaya Kinakukimbia
Ukiisema fedha vibaya, itakukimbia. Na mara nyingi, watu wasiokuwa na fedha, ndiyo wanaongoza kwa kusema vibaya kuhusu fedha. Iko hivi hivi, chochote ambacho unakisema vibaya kinakukimbia, pata picha umeshavisema vibaya vitu vingapi? Kama ulishawahi kuisema fedha na matajiri vibaya ilishawahi kukusaidia kupata fedha zaidi? Badala yake? Inakufanya uzikose zaidi. Watu wasiokuwa na fedha ndiyo wanaongoza …
Continue reading "Chochote Unachokisema Vibaya Kinakukimbia"
Kimbia Haraka Sana Ukisikia Neno Hili
Viashiria vya utapeli viko vingi, na watu wengi wanatapeliwa sana. Utajisikiaje kama leo ukijua kiashiria kimoja cha utapeli? Ukisikia neno HAKUNA KUFANYA KAZI, kimbia haraka sana maana hapo kuna dalili za kupigwa. Ukisikia mtu anakuambia kwamba fursa fulani unapata mafanikio bila ya wewe kufanya kazi kabisa, mwambie asante sana kisha ondoka haraka sana na ikiwezekana …
Juhudi Unazoendelea Kuweka Zitakufikisha Kweli Kule Unakotaka Kufika?
Kila siku unapaswa kujitathimini ili uweze kujijua kama unaenda mbele au unarudi nyuma.Kwenye maisha hakuna kusimama, ukiona huendi mbele, basi jua unarudi nyuma. Unapofanya tathimini inakusaidia kukupa mrejesho wa kile unachofanya. Hivi ukijitafakari, juhudi unazoweka kwenye kazi, biashara zitakufikisha kweli kwenye malengo yako? Unataka kuwa Bilionea, je, utafikia kweli ubilionea kwa kuhudumia wateja wale wale …
Continue reading "Juhudi Unazoendelea Kuweka Zitakufikisha Kweli Kule Unakotaka Kufika?"
Nitakutafuta Nikiwa Tayari
Nitakutafuta nikiwa tayari, ni jibu ambalo watu wengi wanaouza wanakutana nalo sana kwa wateja. Hakuna kazi ngumu kama ya mauzo kwa sababu mauzo ni kitendo cha mteja kujitenganisha na fedha zake. Hivyo inahitaji kazi kumshawishi mteja mpaka atoe fedha yake kwa amani bila kinyongo. Fedha ni rasilimali yenye uhaba kwa kila mmoja wetu. Na kutoa …
Jifunze Kitu Hiki Kwenye Maisha Yako
Hakuna kitu ambacho binadamu wanapenda kwenye maisha yako kama kuthaminiwa. Hali ya mtu kuonekana ni wa muhimu au wa thamani inawafanya watu wajisikie vizuri sana. Sisi binadamu ni viumbe vya hisia, hakuna kiumbe ambaye hapendi kusifiwa, kila mtu anapofanya kitu kizuri, anakuwa anahitaji kupongezwa au kusifiwa. Wakati mwingine watu wanavunjika moyo hata wa kufanya kazi …
Ingekuwa Wewe Ungefanya Nini?
Kiasili sisi binadamu ni wavivu, ni viumbe ambavyo tunapenda kusukumwa kufanya vitu. Ni watu wachache sana ambao wana nidhamu binafsi ambao wanaweza kupanga kitu na kufanyia kazi. Kupanga ni rahisi sana ndiyo maana kila mtu anapanga lakini kufanya imekuwa ni kipengele kingine. Tunao watu wa mfano ambao wanafanya makubwa sasa unapaswa kuwatumia kama watu wako …
Kama Unataka Kuacha Kitu, Acha Kwa Sababu Hii Hapa
Kifupi tu rafiki yangu, maisha ni maumivu, , kwa namna yoyote ile huwezi kukwepa maumivu kwenye hii dunia. Watu wengi wanapenda kupata vitu bila maumivu, mtu anataka maisha yake yabadilike bila kuweka kazi au juhudi yoyote ile. Wengi wanajiambia kabisa hawezi kujitesa, na ukishindwa kujitesa kwa sababu ya kupata kitu kizuri utakuja kupata maumivu ya …
Continue reading "Kama Unataka Kuacha Kitu, Acha Kwa Sababu Hii Hapa"
Jinsi Ya Kuendelea Kuwa Kijana Bila Kuzeeka
Siku moja mwandishi wa kitabu cha How I Raised myself from failure to success in Selling alimtembelea daktari mmoja, alishangazwa kukutana na daktari ambaye umri wake ni zaidi ya miaka 60 lakini bado kila mwaka alikuwa anaenda kuhudhuria semina za madaktari kwa ajili ya kuongeza maarifa kwenye taaluma yake. Na muhimu zaidi ni kwamba kujifunza …
Continue reading "Jinsi Ya Kuendelea Kuwa Kijana Bila Kuzeeka"
Kipi Bora Kati Ya Faida Na Mshahara?
Una mtazamo chanya kuhusu faida na mshahara? Kadiri ya mwanafalsafa Jim Rhon anasema faida ni bora kuliko mshahara. Kwa nini?Kwa sababu mshahara utakupa fedha ya kuendesha maisha pekee lakini faida itakupa mafanikio makubwa. Kama umeajiriwa basi hakikisha una biashara ya pembeni na usitegemee mshahara pekee yake. Kwa sababu hata mshahara uwe mkubwa kiasi gani, huwa …