Huwezi kusoma kitabu chochote kile ukakosa kukutana na sentensi usikate tamaa. Kila mtu ambaye amesoma kitabu basi anao ushahidi huo kwamba, amekutana na sentensi inayosema usikate tamaa. Hata wewe rafiki yangu napenda kukuambia tena usikate tamaa. Kukata tamaa kwenye maisha ni kujinyima mafanikio makubwa ambayo yapo mlango wa pili. Endelea kukazana mpaka ufikie mlango wa …
Continue reading "Kitu Ambacho Kimezungumziwa Kwenye Kila Kitabu Unachokijua Wewe"