Si vema kila mtu ajue maisha yako binafsi ila wale ambao ni watu muhimu kwako. Usiruhusu kila mtu ajue maisha yako binafsi, kwa sababu kwa kufanya hivyo unawapa watu nafasi ya kutumia taarifa hizo kukuangamiza. Mitando ya kijamii siku hizi imekuwa ni sehemu ambayo watu wamekuwa wanaanika mambo yao binafsi. Hii inapelekea watu kukusanya taarifa …
Continue reading "Usitake Kila Mtu Ajue Kitu Hiki Kuhusu Wewe"