Design a site like this with WordPress.com
Get started

Tatizo Lako Linatatuliwa Na Fedha?

Ukijaribu kuchunguza changamoto nyingi ambazo watu wanakabiliana nazo zinatokana na kukosa fedha za kutatua changamoto zinazowakabili.

Kama una changamoto na ukipata fedha unaweza kuitatua basi wewe hapo changamoto yako ni kwamba huna fedha ya kutatua changamoto zinazokukabili.

Kama fedha inaweza kutatua changamoto uliyonayo, basi pambana uweze kupata fedha zaidi.

Mwandishi na mfanyabiashara Kevin O’Leary anasema kwenye maisha kuna wanaume, wanawake na fedha.

Anasema shida yoyote kwenye maisha inatokana na vitu hivyo vitatu.

Lakini anaendelea kusema kwamba, sehemu ya matatizo hayo inatokana na ukosefu wa fedha au tabia mbaya kwenye fedha.

Hatua ya kuchukua leo; unapokuwa na tatizo lolote kwenye maisha yako, jiulize je nikiwa na fedha zaidi tatizo hilo linatatuliwa?

Kama jibu ni ndiyo basi huhitaji tena kuendelea kuumia badala yake kaa chini na ona njia zipi unaweza kuzitumia ili kupata fedha unazohitaji ili kutatua tatizo hilo.

MUHIMU;
Kama bado hujajiunga na kundi la wasapu la Mimi ni Mshindi jiunge leo kwani kuna maarifa mengi unayakosa ambayo sikushirikishi hapa.

Kujua ni maarifa gani hayo na jinsi ya kujiunga nitumie ujumbe wasapu kwa namba 0717101505. Kupata vitabu vizuri vya kujisomea kwa lugha  ya kiswahili wasiliana kwamba namba 0717101505.

Rafiki Na Mwalimu Wako, Afisa Mhamasishaji Mkuu (CIO)Chief Inspiration Officer.

Mwl. Deogratius Kessy

0717101505 au 0767101504
https://kessydeo.home.blog

Leave a comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: