Haya Ndiyo Mambo Matatu Ambayo Hupaswi Kuwaambia Watu Wa Nje

Mpendwa rafiki yangu, Siyo kila kitu unapaswa kumwambia mtu, siyo lazima kila mtu ajue undani wa maisha yako. Pale watu wanapokuwa wanakuja undani wako ni rahisi kufanya kile wanachotaka kadiri ya taarifa ulizo nazo. Mambo matatu ambayo ni siri yako tu na hupaswi kuwaambia watu ni kama yafuatavyo; Kipato chako; usiwaambie watu juu ya kipato …

Utaweza Kufika Pale Unakotaka Kama Ukianzia Hapa

Sehemu pekee ambayo huwa inaanzia juu na kwenda chini ni kaburi. Kaburi huwa linachimbwa kwa kuanziwa juu na kufika chini. Mara nyingi mtu yeyote anayetaka kuanza kitu kwa kuanzia juu lazima ataanguka vibaya. Chukulia kaburi, linaanzia juu na kuelekea chini hivyo basi, hata biashara unatakiwa kuanzia na siyo juu. Kama unataka kufika mbali basi kubali …

Hasara Moja Utakayoipata Pale Utakapoianza Siku Yako Bila Kipaumbele

Mpendwa rafiki, Usipopangilia muda wako vizuri utaishia bila kujua umefanya nini cha maana na huku ukijikuta umechoka. Ukianza siku yako kwa kutumikia mitandao ya kijamii, bila kujipangilia wewe mwenyewe yale muhimu kwako ni lazima utapoteza siku yako. Kiufupi rafiki yangu, hasara moja utakayoipata pale utakapoianza siku yako bila kipaumbele ni ; Kila kitu kitakuwa kipaumbele …

Hii Ndiyo Hadithi Bora Ya Kuwafundisha Watoto Wako

Mpendwa rafiki yangu, Kumekuwa na mabadiliko makubwa sana katika zama tunazoishi, zama za mapinduzi ya viwanda kazi za kuajiriwa zilikuwa ni nyingi ukilinganisha na sasa.   Zama za taarifa zimekuwa na mabadiliko sana, binadamu yuko huru kufanya kile anachotaka yeye. Dunia inazidi kudhihirisha ukweli kwamba ile hadithi ya nenda shule, soma kwa bidii, faulu na …

Sala Bora Ya Kuondoa Uvivu Duniani

Uvivu umekuwa ni tatizo kubwa miongoni mwa watu wengi. Watu wamekuwa wanaendesha maisha yao kwa mazoea sana. Utamaduni wa uvivu huwa unazaa walalamikaji wengi, watu wasipotambua kuwa jukumu la maisha yao ni lao wenyewe watakua wanawalaumu watu wengine kwa wao kuwa hivyo walivyo leo. Uvivu ndiyo adui mkubwa wa binadamu, watu wanashindwa kuwa na maisha …

Usikubali Kufanywa Mtu Wa Namna Hii Kwenye Maisha Yako

Mpendwa rafiki yangu, Tunatakiwa kufanya kile tunachofanya kwa uaminifu mkubwa sana,kazi unayofanya unatakiwa kuifanya kwa uaminifu mkubwa. Biashara unayofanya unatakiwa kufanya kwa uaminifu mkubwa sana. Kwenye jambo lolote kwanza huwa anatafutwa mjinga wa kuumizwa au kuuziwa. Angalia makubaliano yoyote yanayofanyika lazima kuna kuwa na mambo haya. Mmoja lazima akubali kushindwa ili mwingine ashinde, au kila …

Hiki Ndiyo Kioo Bora Kuliko Vyote Duniani Katika Karne Ya 21

Mpendwa rafiki yangu, Natumaini una kifahamu kioo, Kioo huwa kinatusadia kujiangalia kama tuko sawa au la. Asubuhi kabla hatujaondoka huwa tunajiangali kwenye kioo kama tumevaa nguo zetu vizuri, kama tuna matongotongo, au la. Kioo kinatusaidia kujitathimini namna tulivyo kwa wakati huo. Kama ilivyo watu wengi walivyokuwa rafiki na kioo, hawawezi kuondoka bila kujiangalia kwanza kama …

Mambo Mawili Muhimu Utakayokutana Nayo Siku Hii Ya Leo

Mpendwa rafiki yangu, Hakuna mtu anayeamka na kujua leo akitoka nyumbani atakutana na changamoto gani. Katika maisha tunapaswa kujiandaa kwa lolote, kwa mazuri na mabaya. Kwani haya yote ni sehemu ya maisha yetu. Leo katika shughuli zako,utaweza kukutana na mambo haya mawili muhimu kwako. Nayo ni kama ifuatavyo; Utakutana na ushindi. Lazima katika mipango yako …

Ifahamu Sheria Kubwa Ya Asili

Mpendwa rafiki yangu, Heri ya mwezi machi,natumaini unaendelea vema kuwa bora kila siku na kuhakikisha unafikia malengo yako. Sisi binadamu wote tuko katika mwendo, kwanza tokea unazaliwa moyo wako haujawahi kusimama kufanya kazi hivyo siku utakaposima na wewe ndiyo utakua mwisho wako hapa duniani. Miili yetu kiasili iko katika mwendo. Kila kitu kipo katika mwendo, …

Njia Bora Ya Kukomesha Umasikini Kwenye Maisha Yako

Sijui kama kuna mtu huwa anakaa chini na kuweka malengo ya kuwa masikini? Bali umasikini wa mtu huwa unakuja kwa kujitakia mwenyewe kwa kushindwa kuwajibika katika kazi. Hakuna njia nyingine bora ya kukomesha umasikini kwenye maisha yako kama ya kufanya kazi. Umasikini unaondolewa kwa kufanya kazi. Lakini kama umasikini unaondolewa kwa kufanya kazi kwanini watu …

Design a site like this with WordPress.com
Get started