Siku zote kitu ambacho kitakuja kukulipa hapa duniani ni kazi na siyo kitu kingine. Kama kuna kitu unachotakiwa kukipenda zaidi basi ni kazi. Kazi huwa haimtupi mtu bali huwa inawainua watu. Ukitaka uheshimike basi kubali kufanya kazi kwa bidii na unapoweka kazi lazima utapata matokeo ya tofauti. Watu wanapenda kuwa na vitu vizuri sana, maisha …
Kuwa Makini Na Kinachokuja Kirahisi Kwenye Maisha Yako
Rafiki yangu, Mtu mmoja aliwahi kusema kuwa kile ambacho huwa kinakuja kirahisi huwa hakidumu. Hapa tunajifunza kuwa hata mafanikio yanayokuja kirahisi kwako huwa hayadumu hata siku moja. Kwanini? Kitu ambacho kinakuja kirahisi kinaondoka kirahisi kwa sababu hutakuwa nacho makini. Angalia ni mambo mangapi ambayo yamekuja kwako kirahisi na umeyachukulia poa? Binadamu tuna kitu kimoja, kile …
Continue reading "Kuwa Makini Na Kinachokuja Kirahisi Kwenye Maisha Yako"
Siyo Fedha Wala Koneksheni Bali…
Fedha huwa inakuwa ni matokeo ya thamani tunazotoa. Siyo fedha wala koneksheni zinazowafanya watu wafanikiwe bali kuna vitu viwili ambavyo vinakufanya uwe na vyote unavyohitaji. Ukishakuwa na vitu hivyo viwili basi vitaweza kukupa fedha na koneksheni. Je vitu hivyo ni vitu gani? Bilinionea Mark Cuban anatuambia kuwa siyo fedha au koneksheni bali ni utayari wa …
Ifahamu Nguvu Ya Kujitamkia Matashi Mema
Mpendwa rafiki yangu, Kuna wakati mwingine unahitaji tu kujitamkia maneno chanya wewe mwenyewe. Mafanikio yako, yapo katika kinywa chako. Jinsi unavyojitamkia mwili, akili na roho vinapokea na kuwa kama vile unavyotamka. Mazingira ya kua vile unavyotaka kua yanaanza kujitengeneza yenyewe. Tunaamua maisha tunayotaka kua kwa vinywa vyetu wenyewe. Ukiwa ni mtu wa kujitakia matashi mema …
Ifahamu Sheria Ya Karma
Dunia inajiendesha kwa misingi yake na kila mmoja wetu anafundishwa na asili kwa kujua au hata kutokujua. Tunapoambiwa tuishi kadiri ya asili maana yake tuyakubali yote yanayotokea mbele yetu kama sehemu ya maisha. Likija jua au mvua sawa hatupaswi kupingana na asili kwamba kile tunachotaka sisi sasa ndiyo kitokee. Leo tutajifunza juu ya sheria ya …
Haya Ndiyo Malengo Ambayo Unapaswa Kujiwekea
Kila mmoja wetu ana malengo yake ambayo anayafanyia kazi kila kukicha. Bila kuwa na malengo tunakuwa hatuna tofauti na wanyama lakini sisi ni binadamu tunayo akili inayotuongoza kufanyia kazi malengo yetu. Haya malengo ambayo watu wanajiwekea huwa muda mwingine yanakuwa yanawaletea watu maumivu na hata kukatisha tamaa kabisa. Na miongoni mwa malengo ambayo yanawakatisha watu …
Continue reading "Haya Ndiyo Malengo Ambayo Unapaswa Kujiwekea"
Hiki Ndiyo Kitu Kinachotibu Mahusiano Yetu
Rafiki yangu, Yako mambo mengi ambayo yanajenga sana mahusiano yetu. Na moja ya mambo hayo ni kama vile muda. Mahusiano yetu yanakuwa yana njaa kama hayana muda. Katika karne ya sasa mahusiano mengi yanalia kwa sababu ya njaa. Watoto wanalia njaa ya kukosa kupewa muda wa pamoja na wazazi. Wanandoa wananjaa ya kutopeana muda, kila …
Continue reading "Hiki Ndiyo Kitu Kinachotibu Mahusiano Yetu"
Hiki Ndiyo Kitu Ambacho Huwezi Kumzuia Mtu Kusema Juu Yako
Huwezi kuwapangia watu waseme nini juu yako. Huwezi kuwazuia watu kuongea. Huwa tunapata shida kufikiria watu wanatusemaje kwani haya ni mambo ambayo yako nje ya uwezo wako. Watu wanaweza kuongea lolote juu yako aidha uwe unataka au la. Hutakiwi kujipa mawazo je watu wanakusemaje bali unatakiwa kuishi maisha ya uaminifu. Wewe fanya kile ambacho unaona …
Continue reading "Hiki Ndiyo Kitu Ambacho Huwezi Kumzuia Mtu Kusema Juu Yako"
Kitu Pekee Ambacho Unapaswa Kuchelewa Kukifanya Kwenye Maisha Yako
Mpendwa rafiki yangu, Huwa tunaambiwa kuwa tusichelewe kufanya yale tunayoweza kufanya katika maisha yetu. Kuna vitu ambavyo hutakiwi kuchelewa kuvifanya kabisa maana muda wetu ni mfupi sana kama vile kuchelewa kuandaa maisha mapema kabla hujazeeka. Watu wanapoteza muda wanafikiri kuwa watabakia hivyo hivyo milele wakiwa na muda na nguvu. Wanachelewa kufanya makubwa kwenye maisha yao …
Continue reading "Kitu Pekee Ambacho Unapaswa Kuchelewa Kukifanya Kwenye Maisha Yako"
Jinsi Ya Kukutana Na Bahati Kwenye Jambo Lolote Kwenye Maisha Yako
Kila mtu ana bahati katika hii dunia, kama tu uko hai ni kiashiria kizuri kuwa una bahati. Kwani kitendo cha kuendelea kuvuta pumzi ni bahati sana na siyo kwamba sisi tuna stahili sana. Wanasema hivi kuwa bahati ni pale fursa inapokutana na maandalizi. Unaweza kuwaona watu fulani wana bahati sana kwenye maisha yako kumbe basi …
Continue reading "Jinsi Ya Kukutana Na Bahati Kwenye Jambo Lolote Kwenye Maisha Yako"