Usivumilie Kama Unaweza Kuchukua Hatua

Rafiki, Kama kuna kitu kina kusumbua na unajua dawa yake ni bora kuitumia hiyo dawa kumaliza tatizo. Usivumilie kitu ambacho unaweza kukibadilisha. Kwa mfano, kama kuna mtu umekaa naye sehemu anavuta sigara na wewe inakukera unatakiwa kumwambia kuwa sigara anayovuta inakukera au kama unashindwa kumwambia hama na nenda sehemu ambayo hakuna sigara. Usivumilie maisha bali …

Huwa Unafanya Kitu Hiki Unapotoka Nyumbani?

Rafiki, Maisha ni furaha na kila siku unapotoka kwenye mlango wa nyumba unayolala unapaswa kuwa na furaha. Na je furaha hiyo unaipataje sasa? Furaha hiyo unaipata kwa njia hizi. Kwanza, chagua kuwa na siku bora na yenye furaha kwako. Jitakie matashi mema kama vile Mimi ni mshindi na nimezaliwa kushinda. Leo ni siku bora na …

Hiki Ndiyo Kitu Utakachopata Ukiwa Ni Mtu Wa Kutaka Mambo Yaende Kama Vile Unavyotaka

Rafiki yangu, Tukiwa ni watu wa kutaka kila kitu kiende kama vile tunavyotaka sisi ni kama vile tumejiandaa kushindwa. Kuna wakati hatuwezi kupata matokeo yale tunayotaka. Kuna wakati tunagemea matokeo fulani kutoka kwa watu wetu wa karibu lakini cha kushangaza unakuta mambo yanakwenda tofauti na tulivyotegemea. Kuna wakati tunategemea wale tunaowadai watatulipa lakini mambo yanakwenda …

Jinsi Ya Kupata Kile Unachotaka Kwenye Maisha Yako

Mpendwa rafiki yangu, Ukitaka kushindwa katika maisha basi ishi bila kujua kile unachotaka. Kanuni moja ya mafanikio ni kwanza jua kile unachotaka. Ni nani kati yetu anaweza kwenda dukani kununua mahitaji halafu anafika pale hajui kile anachotaka? Hivi kama hujui kile unachotaka dunia itakusaidiaje? Kama huulizi utajibiwaje? Kama huna unachoomba utapewa nini sasa? Kama hujui …

Hiki Ndiyo Chanzo Cha Kutokuwa Na Matokeo Mazuri Kwenye Kila Eneo La Maisha Yako

Mpendwa rafiki yangu, Kama bado hujapata kile unachotaka kuna chanzo kimoja ambacho ndiyo ninakwenda kukuelezea hapa kwanini bado hujakipata. Sisi binadamu ni wazuri sana kwenye kupanga lakini kuchukua hatua ndiyo kuna shida kubwa, kama ingekuwa tunakuwa vile tunavyotaka kwa njia ya mdomo tu basi kila mtu angekuwa tajiri kwenye kila eneo analotaka kwenye maisha yake. …

Usisubiri Mpaka Ifikie Hali Hii

Pale unapoona dalili za mwanzo kabisa za kitu chochote ambacho haziko sawa ndiyo muda wa kuchukua ya kurekebisha kitu hiko. Unapoona tatizo dogo chukua hatua kabla halijawa kubwa. Mtu anaweza akawa anaumwa tumbo hachukui hatua mara moja ya kwenda hospitali kuchunguza nini kinachomsumbua na ataendelea kuvumilia tu. Lakini inapotokea mtu huyo anayeumwa na tumbo ameamka …

Jinsi Ya Kujua Kama Unaziabudu Fedha Zako Au La

Rafiki yangu, Chochote ambacho unakiabudu sana kinakuwa na sauti ya mwisho juu yako. Kuna matokeo mawili utayapata pale unapokuwa mtu wa kuziabudu fedha. Kwanza zitakupelekesha , ukishakiabudu kitu lazima tu kitakusumbua. Na hapo ndiyo unakua mtu wa fedha. Pili, zitataka zifanye ufanye zinachotaka na sio unachotaka. Ukipata fedha zitaanza kukuendesha ufanye kile ambacho fedha inataka …

Kwanini Hakuna Anayekufikiria Kwenye Maisha Yako

Kila mara huwa nakuambia rafiki yangu kuwa hakuna anayekufikiria hivyo kama hakuna anayekufikiria ni bora ukajifiria wewe mwenyewe. Mkurugenzi wa maisha yako ni wewe mwenyewe na wala siyo mtu mwingine. Acha kumfikiria mtu mwingine ndiyo atakuja kubadili maisha yako kama usipojichukulia hatua wewe mwenyewe. Utabaki kama ulivyo kama usipojichukulia hatua. Maisha huwa ni mwalimu mzuri …

Kitu Ambacho Kitachangia Wewe Kujiamini na kujiuza vizuri Kwenye Kile Unachofanya

Rafiki yangu, Kuna vitu ambavyo tukivifanya huwa tunajiongezea ushindi kwenye maisha yetu. Tunaongeza ufanisi na kuonekana watu kujiamini kwa wale waliotuzunguka. Siyo hivyo tu, bali hata kuchangamka na kuwa na hamasa ya kazi. Tunakuwa na nguvu na kujihisi tuko vizuri sana kwenye kile tunachofanya. Kitu Ambacho kinachangia wewe kuweza kuongeza mauzo kwenye kazi au biashara …

Faida Moja Ya Kujisumbua Kwenye Maisha Yako

Mpendwa rafiki yangu, Katika maisha hakuna kitu chochote kitakachoweza kutokea kama hutoweza Kujisumbua kupata kitu hiko. Vitu vyote ulivyonavyo kwenye maisha yako umejisumbua kuwa navyo. Hakuna kitu kinachotokea katika maisha yetu bila ya sisi kujisukuma kuwa na vitu hivyo. Mambo hayatokei kama ajali bali maamuzi yetu ndiyo yanaamua tubadilike au tubaki kama tulivyo. Faida moja …

Design a site like this with WordPress.com
Get started