Mpendwa rafiki yangu, Changamoto kubwa ya watu wengi iko kwenye fedha, kitu kikubwa kinachosumbua watu ni kukosa elimu ya msingi wa fedha. Kabla hujamiliki kiwango kikubwa cha fedha kwanza unatakiwa ujifunze sana juu ya misingi na elimu ya fedha kiujumla wake. Usipojua misingi ya fedha utakua ni kama vile mtu anayepewa samaki badala ya kufundishwa …
Hii Ndiyo Sababu Inayowafanya Watu Wengi Kushindwa Kuweka Akiba
Mpendwa rafiki yangu, Watu wengi hawana utaratibu wa kuweka akiba kwenye maisha yao. Wanaishi ile dhana ya mkono kinywani yaani ukipata tumia na ukikosa jutia. Unakuta mtu akipata fedha anasahau kama kuna kesho, anaishi falsafa kama ya mbwa ya kutumia alichopata chote na kesho itajijua yenyewe. Akiba ni moja ya ulinzi mkubwa sana kwenye maisha …
Continue reading "Hii Ndiyo Sababu Inayowafanya Watu Wengi Kushindwa Kuweka Akiba"
Huu Ndiyo Muujiza Mkubwa Kuliko Yote Duniani
Mpendwa rafiki yangu, Tunaalikwa kushukuru kwa kila jambo katika maisha yetu. Kuna miujiza mingi sana inayofanyika kwenye maisha yetu lakini sisi tunaona ni kama haki au mastahili yetu. Falsafa ya kushukuru kwa kila jambo ni pana na watu huwa hatuielewi, tukiwa tunapitia magumu hakuna anayeshukuru bali ni kulalamika kwanini dunia inatufanyia sisi hivi. Tunashukuru kwa …
Continue reading "Huu Ndiyo Muujiza Mkubwa Kuliko Yote Duniani"
Umuhimu Wa Kuwa Na Misingi Kwenye Maisha Yako
Rafiki, Mara nyingi huwa ninasisitiza kuwa ni muhimu kila mmoja wetu kuwa na misingi katika maisha yake. Huwa yanatokea mengi, unakutana na vingi na kama hauna misingi ya kusimamia uliyojiwekea utashangaa unapotezwa. Kuna umuhimu wa kila mtu kujiwekea misingi kwenye maisha yake. Kila eneo la maisha yako jiwekee misingi bila kuwa na misingi utakua huna …
Continue reading "Umuhimu Wa Kuwa Na Misingi Kwenye Maisha Yako"
Njia Rahisi Ya Kujijengea Misingi Ya Kifalsafa Kwenye Maisha Yako
Mpendwa rafiki yangu, Iko njia moja rahisi sana ya kujijengea misingi ya kifalsafa. Na leo ndiyo tunakwenda kujifunza njia hiyo. Aliyekuwa mwanafalsafa na mtawala wa Roma Marcus Aurelius aliwahi kusema kuwa kama siyo sahihi usifanye. Na kama siyo kweli usiseme. Sasa kama unataka kuishi misingi ya kifalsafa basi ishi misingi hii. Ukiona kitu chochote siyo …
Continue reading "Njia Rahisi Ya Kujijengea Misingi Ya Kifalsafa Kwenye Maisha Yako"
Hii Ndiyo Injili Inayopaswa Kuhubiriwa Kwenye Mahusiano Yetu
Mpendwa rafiki yangu, Mahusiano yetu yanajengwa na uaminifu. Kama mahusiano hayana uaminifu yanakuwa hayana uhai na watu mara nyingi huwa wanapenda kuanzisha mahusiano mahali ambako pana uhakika. Kwa mfano, wewe umeanzisha mahusiano sehemu gani? yenye uhakika au isiyokuwa na uhakika? Natumaini utakua umeanzisha sehemu yenye uhakika kama unajua hakuna uhakika huwezi kujisumbua hata kidogo. Katika …
Continue reading "Hii Ndiyo Injili Inayopaswa Kuhubiriwa Kwenye Mahusiano Yetu"
Huyu Ndiye Mtu Wa Kumheshimu Sana Kwenye Maisha Yako
Rafiki yangu mpendwa, Zama tunazoishi ni zama zinazohitaji fedha. Kila kitu kinahitaji fedha ili kiweze kwenda mbele. Ndoto zako ulizonazo ili ziweke kukamilika zinahitaji fedha. Una ona ni kwa namna gani fedha ilivyo muhimu? Ukiwa na fedha unaweza kupata kile unachotaka kwenye maisha yako. Hivyo basi, baada ya kuona ni kwa namna gani fedha ilivyokuwa …
Continue reading "Huyu Ndiye Mtu Wa Kumheshimu Sana Kwenye Maisha Yako"
Hatua Mbili Za Kuchukua Pale Unapoona Kitu Kinakusumbua
Rafiki, Aliyekuwa mtawala wa Roma na mwanafalsafa wa ustoa aliwahi kunukuliwa akisema, Kama inavumilika, basi vumilia. Na kama haivumiliki basi acha kulalamika. Tuje katika maisha yetu ya kawaida, ni mambo gani yanakusumbua? Najua yapo ambayo yanakusumbua je jiulize yanavumilika? Kama jibu lako ni ndiyo basi vumilia. Vipi kama jambo ulilonalo linakukera na halivumiliki? Na lipo …
Continue reading "Hatua Mbili Za Kuchukua Pale Unapoona Kitu Kinakusumbua"
Hii Ndiyo Asili Ya Tabia Zote Unazojua
Mpendwa rafiki yangu, Hakuna mtu anaamka anajikuta anadaiwa milioni kumi. Mwanzo wa kitu chochote ulianza kidogo kidogo. Hakuna mtu aliyezaliwa na tabia fulani ila tabia zote tulizonazo tumezitengeneza sisi wenyewe. Asili ya tabia zote tunazojua ni matokeo ya kuanza kufanya kidogo kidogo na matokeo yake kuja kuwa tabia ya kudumu. Waulize watu wote walioingia kwenye …
Neno La Ushindi La Kujiambia Siku Hii Ya Leo
Rafiki, Maisha yanachosha kama hayana ushindi. Kila mmoja ana hitaji ushindi kwenye kile anachofanya. Tunapoteza hamasa ya maisha kwa sababu ya kukosa matumaini kwenye yale tunayofanya. Leo ninakusihi sana uondoke na neno la ushindi ambalo litakupa hamasa ya kuendelea kufanya kile unachofanya. Neno hilo siyo lingine bali ni kujipongeza kwa yale ambayo umeyafanya hapo nyuma. …
Continue reading "Neno La Ushindi La Kujiambia Siku Hii Ya Leo"