Pata picha wewe ni meneja wa mauzo na unaambiwa onesha namba ya mauzo ya biashara yako halafu unaanza kutoa maelezo ambayo hayana ushahidi huo unakuwa ni umbea. Kama wewe ni meneja wa mauzo, au unafanya biashara au kitu chochote kile tuoneshe ushahidi unafanya. Kama huna ushahidi huo unakuwa ni umbea tu. Ukitaka watu wakuamini kwenye …
Continue reading "Kwenye Biashara Kama Huna Hiki Huo Ni Umbea"