Design a site like this with WordPress.com
Get started

Sifa Moja Ya Mtu Aliyestarabika

Huwa hanisumbui na kabisa ba vitu visivyokuwa na maana kwao.

Huwa hawahangaiki na sifa za kijinga.

Wakifanya kitu kidogo hawataki kujitangaza wala kujulikana kwa kila kwamba wao ndiyo wamefanya.

Lakini mtu ambaye hajastarabika anakazana kujitangaza ili kuonekana kwamba amefanya kitu fulani.

Watu waliostarabika hawajisifii kwa wengine kwa mali, utajiri au kwa vile ambavyo wao wanavyo na wengine hawana. Ukiona wewe una hii sifa basi jua bado hujafikia kiwango cha kustarabika.

Hatua ya kuchukua leo; kuwa mtu aliyestarabika kwa kutojisumbua na vitu visivyokuwa na maana kwako.

Acha sifa za kijinga, na fanya kazi na kazi yako itakuheshimisha na kukutangaza lakini wewe kuwa mnyenyekevu na thamani yako itaongea yenyewe.

MUHIMU;
Kama bado hujajiunga na kundi la wasapu la Mimi ni Mshindi jiunge leo kwani kuna maarifa mengi unayakosa ambayo sikushirikishi hapa.

Kujua ni maarifa gani hayo na jinsi ya kujiunga nitumie ujumbe wasapu kwa namba 0717101505. Kupata vitabu vizuri vya kujisomea kwa lugha  ya kiswahili wasiliana kwamba namba 0717101505.

Rafiki Na Mwalimu Wako, Afisa Mhamasishaji Mkuu (CIO)Chief Inspiration Officer.

Mwl. Deogratius Kessy

0717101505 au 0767101504
https://kessydeo.home.blog

Leave a comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: