Sisi binadamu tuna asili ya unafiki, huwa tupo kimaslahi zaidi. Tunaanzisha mahusiano na mtu fulani kwa sababu tunajua tutapata kitu fulani. Siyo watu wote wanaoanzisha mahusiano na wewe na unaona watu wanakupenda kweli, siyo kweli kwa sababu wengine wanakuja kwako kwa sababu ya maslahi kitu fulani na ataonesha anakupenda kwa sababu apate kile anachotaka. Watu …
Kila Kitu Kinategemea Hiki
Kadiri ya mwanafalsafa Seneca, mwanafalsafa wa falsafa ya ustoa anasema kwamba, kila kitu kinategemea maoni. Vile mtu alivyo ni jinsi anavyojiona yupo, maisha yako ni matokeo ya maoni uliyonayo juu yako. Una maoni gani juu yako? Kama una maoni chanya au hasi juu yako basi utakua kadiri ya maoni uliyonayo juu yako. Pata picha umevaa …
Fedha Hainunui Furaha, Je, Umasikini Unanunua nini?
Nilishajifunza sana na naendelea kujifunza zaidi juu ya misingi ya fedha. Kwa mtu ambaye hana hela huwa anaisema vibaya kwa sababu hana. HAKUNA mtu ambaye ana fedha halafu akaisema vibaya fedha. Naipenda fedha siyo kwa ubaya kwa sababu fedha ni jawabu la mambo yote. Tafuta fedha siyo kwa ubaya ila kwa uzuri. Ukishakuwa na fedha …
Continue reading "Fedha Hainunui Furaha, Je, Umasikini Unanunua nini?"
Kwenye Uhalisia Hiki Kitu Hakipo Kabisa
Watu wengi wanapenda kujiita watu fulani lakini hawapendi kuwa. Ni rahisi sana kujiita mwandishi, mjasiriamali, msanii na majina mengine unayoyajua. Ukiangalia kwenye mitandao ya kijamii, watu wengi wameandika kwambwa wao wamejiajiri au ni waandishi au wajasirimali. Lakini nikuambie kitu, hilo halina uhalisia. Ukitaka kujiita, mwandishi basi unapaswa kweli uwe unakaa kwenye mchakato na unaandika na …
Chochote Unachotaka Kufanya Kwa Namna Hii Kitakusumbua
Chochote unachotaka kufanya kwa urahisi kitakusumbua. Na chochote unachotaka kufanya kwa ugumu hakitakusumbua baadaye. Kwa mfano, unataka kufanya biashara kwa urahisi itakuja kukusumbua baadaye lakini, ukiifanya biashara kwa namna ugumu yaani unajitesa kwa hiyari kuhakikisha unajenga biashara na mifumo yake haitakusumbua baadaye lakini ukiendesha biashara kwa urahisi bila mifumo itakuja kukusumbua baadaye lakini mwanzo ukifanya …
Continue reading "Chochote Unachotaka Kufanya Kwa Namna Hii Kitakusumbua"
Kuwa Mwendesha Farasi Usiwe Farasi
Watu wengi wanachagua kuendeshwa na farasi badala ya wao kumwendesha farasi. Unaweza kujiuliza je farasi na mwendesha farasi ni akina nani? Farasi ni hisia na mwendesha farasi ndiyo akili. Kumbe basi, unatakiwa kuendeshwa na akili na siyo hisia. Hatua ya kuchukua leo; tumia akili na usikubali hisia ikuongoze. Kuwa mwendesha farasi na usiwe farasi. Usiendeshwe …
Kama Hasara Haikuhusu, Hupaswi Kunufaika Na Faida
Tumeshazoea kuona katika mahusiano na makubaliano mengi baina ya watu yapo kwenye hali kwamba inapopatikana faida basi pande zote zinanufaika na kufurahia. Lakini, inapopatikana hasara, upande mmoja unakuwa hauhusiki kabisa na hasara hiyo. Kama unanufaika na faida na hasara pia inakuhusu. Linapotokea jambo ambalo linaleta hasara unapaswa kuwajibika kama ulivyokuwa unawajibika kwenye faida. Unapaswa kujua …
Continue reading "Kama Hasara Haikuhusu, Hupaswi Kunufaika Na Faida"
Ukitaka Uhuru Mkubwa Unapaswa Kulipa Gharama Kubwa
Je, unataka uhuru? Rafiki yangu nikupendaye, kila aina ya uhuru unaotafuta kwenye maisha yako, ipo gharama ambayo utapaswa kulipa ili kupata uhuru huo. Kifupi tu, hakuna uhuru wa bure, na kadiri unavyotaka uhuru mkubwa , ndiyo unahitajika kulipa gharama kubwa. Uhuru ni kitu kigumu sana kukifikia na watu wengi hawaielewi dhana hii ya uhuru. Kwa …
Continue reading "Ukitaka Uhuru Mkubwa Unapaswa Kulipa Gharama Kubwa"
Hii Ndiyo Hamu Unayopaswa Kuwa Nayo Ili Kufikia Mafanikio Makubwa
Je, una hamu kiasi gani ya kufikia ndoto yako? Hamu kubwa unayokuwa nayo kwenye kitu unachotaka ndio inapima kama utaweza kukipata. Kama una hamu kubwa sana ya kupata kitu, hakuna kitu kitakachoweza kukuzuia kukipata. Hata utapokutana na changamoto lazima utapata njia. Hamu kubwa ya kupata kitu inakupa nguvu ya kulipa gharama ya mafanikio. Unaweza kujitengenezea …
Continue reading "Hii Ndiyo Hamu Unayopaswa Kuwa Nayo Ili Kufikia Mafanikio Makubwa"
Unahitaji Fedha Zaidi
Matatizo mengi katika jamii yetu ukiyatazama mengi yanasababishwa na tatizo la fedha. Na matatizo mengi tuliyokuwa nayo siyo kwamba ni matatizo bali ni kukosa fedha ya kutatua matatizo tuliyonayo. Kama tatizo lako ulilokuwa nalo ukipata fedha linaisha basi hapo wewe huna tatizo bali tatizo lako ni fedha. Umasikini ni mbaya, pambana kufanya kazi ili kuondoa …