Kuna sababu mbili za kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yako. Ukiweza kuzifuata lazima utafanikiwa ni suala la muda tu. Sababu ya kwanza, jua gharama ya mafanikio unayotaka.Kama unataka kufanikiwa kitu jua ni gharama kiasi gani unayopaswa kulipa. Sababu ya pili, kuwa tayari kulipia gharama. Baada ya kujua gharama sasa kuwa tayari kulipia gharama hizo. Kila …
Unatakiwa Kufanya Hivi Kama Kitu Hakipo Sawa
Wakati mzuri wa kubadili mambo yaliyoharibika ni kabla hayajaharibika, na unaweza kufanya hivyo kwa kuchukua hatua kwenye mambo madogo ambayo hayana madhara na yanaweza kupuuzwa, lakini baadaye yanatengeneza madhara makubwa. Kwa mfano, huwa tunadharau yale mambo madogo madogo kwenye maisha yetu, lakini baadaye yanakuja kutugharimu. Kama kitu hakipo sahihi, kirekebishe kabla mambo hayajaharibika. Muda mzuri …
Continue reading "Unatakiwa Kufanya Hivi Kama Kitu Hakipo Sawa"
Mafanikio Siyo Kushinda Mara Zote
Somo kubwa ambalo unapaswa kulielewa wakati wote kwenye maisha ni kwamba, mafanikio Siyo kushinda mara zote. Bali matokeo ya USHINDI mkubwa kwenye mambo machache. Unapokuwa unakabiliana na changamoto kwenye kazi, biashara, uwekezaji nk na kushindwa vibaya, siyo kwamba hutafanikiwa bali utafanikiwa. Unachotakiwa kufanya ni wewe kushinda kwenye maeneo machache ambayo uko vizuri na kufidia kwingine. …
Unachopaswa Kujua Ni Hiki
Mtu mmoja aliwahi kunukuliwa akisema, nataka kujua ni wapi nikienda nitakufa, niepuke kwenda sehemu hiyo. Hii ina maana gani kwetu? Hii ina maana kwamba, unatakiwa kujua ni vitu gani ukivifanya vitakupa hasara na uviepuke kuvifanya vitu hivyo. Unatakiwa kujua ni uwekezaji gani ukifanya utakupa faida na uwekezaji gani ukifanya utakupa hasara na uepuke hasara hiyo. …
Maana Ya Kutosheka
Kutosheka haimaanishi kidogo kama wengi wanavyofikiri. Kutosheka ni kufikia hatua ambayo unajua hata ukienda zaidi hakuna mabadiliko makubwa utakayoleta na kwa kuwa kila hatua unayochukua ina hatari hivyo hakuna hatari itakayoweza kukulipa. Kwa mfano, mtu ukishiba maana yake umetosheka na hata ukisema ule zaidi inakuwa ni hatari na sumu. Wengi wakisikia kutosheka wanaona ni kama …
Usirudie Tena Ujinga Huu
Ujinga Ni Nini ? Ujinga ni kurudia kufanya kitu kile kile kwa mtindo ule ule halafu unategemea kupata matokeo tofauti. Kwa mfano, mwaka 2022 ulikuwa unafanya kazi au biashara kimazoea halafu mwanzoni mwa mwaka 2023 unajiambia mwaka huu lazima utafanikiwa. Utafanikiwa kwa namna gani kama mwendo uliotembelea mwaka jana unataka utembee nao mwaka huu? Lazima …
Wewe Ni Nani?
Heri ya mwaka mpya 2023 rafiki yangu nikupendaye, Ukijiuliza swali wewe ni nani mpaka uko hai mpaka sasa? Tumshukuru Mungu kwa kutustahilisha kuuona tena mwaka 2023. Kila mwaka unapata nafasi ya uhai, unamshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai. Sina uhakika kama itakufaa lakini kumshukuru Mungu ni vema na haki. Lakini sasa wewe kila mwaka unajivunia …
Kwa Nini Watu Wanadanganya?
Kudanganya imekuwa ni sehemu ya maisha ya watu wengi kwa sasa. Watu hupenda kutumia uongo kuwahadaa wengine ili kupata chochote au kile wanachotaka. Yaani imefikia hatua watu mpaka watu wanajihadaa wenyewe. Je, maisha ya uongo yanafaida gani kwetu? Njia bora ya kuishi maisha ni kuwa mkweli au kutokudanganya wengine au kujidanganya mwenyewe. Kwa nini watu …
Sala Dhidi Ya Kuwasema Wengine Vibaya
Usiwaongelee wengine vibaya, najua kuna watu wengine hawawezi kumaliza siku bila kuwasema WENGINE vibaya. Midomo yao iko kama vile bata ambaye hawezi kujizuia pale anapotaka kujisaidia. Nakusihi sana acha kusema watu vibaya, wewe siyo kiranja wa dunia ambaye unataka watu wawe kama vile unavyotaka wewe. Ukikosa mazuri kwa mtu ya kusema, basi kaa kimya na …
Ukitaka Kuoa Au Kuolewa Olewa Au Oa Mtu Huyu
Kwanza kabisa nikuambie tu kitu rafiki yangu nikupendaye, Huwezi kubadilisha asili ya mtu hata siku moja. Kama ulioa au kuolewa ukiwa na lengo la kutaka kumbadilisha mtu awe kama unavyotaka wewe hapo umejidanganya. Ukweli ni kwamba, ukitaka kuoa au kuolewa, oa au olewa na mtu ambaye hutaki kumbadilisha. Matatizo mengi kwenye mahusiano huwa yanayokea pale …
Continue reading "Ukitaka Kuoa Au Kuolewa Olewa Au Oa Mtu Huyu"