Wanapopigana tembo nyasi huumia kama wasemavyo waswahili. Vivyo hivyo katika familia zetu, panapo tokea changamoto katika familia zetu watu wa kwanza kuumia ni watoto. Watoto ndiyo wanakuwa wahanga wakubwa katika familia zao. Changamoto katika familia kama vile baba na mama kugombana, kutengana ni moja ya adhabu kubwa wanayoipata watoto. Wazazi ndiyo walinzi wa watoto. Hivyo …
Continue reading "Hawa Ndiyo Wahanga Wakubwa Katika Familia"