Ni kawaida yetu sisi binadamu kupenda kuhodhi au kumiliki vitu mbalimbali, wapo ambao wanamiliki ardhi, nyumba na mali nyingine. Tunayo nguvu ya kumiliki vitu vyote lakini kuna kitu kimoja ambacho sisi binadamu hatuwezi kukimiliki. Aliyekuwa mwanafalsafa wa ustoa Seneca aliwahi kunukuliwa akisema, ‘’ ukweli hauwezi kuhodhiwa, yeyote anayetafuta ukweli ataupata.’’ Rafiki, kitu pekee ambacho hakuna …
Continue reading "Kitu Pekee Duniani Ambacho Hakuna Anayeweza Kukihodhi Au Kukimiliki Hata Awe Nani"