Mpendwa rafiki, Hakuna mtu anayekosa usingizi kwa sababu ya maisha yako, kila mmoja wetu yuko bize na mambo ambayo yanamchanganya kwenye maisha yake. Wako ambao wanasubiria serikali ibadilishe maisha yao, wako ambao wanasubiria wazazi wao wabadilishe maisha yao. Kusubiria watu wengine waje kubadili maisha yako ni kujiandaa kushindwa katika maisha yako. Maana watu wengi wamepoteza …
Continue reading "Kama Bado Unamtafuta Mtu Wa Kubadilisha Maisha Yako Soma Hapa"