Usifanye Chochote Kwa Sababu Unataka Kuwafurahisha Watu

Kwa chochote unachofanya kwenye maisha yako ni kawaida kukutana na makundi ya aina tatu ya watu. Wapo ambao watakubaliana na wewe.Wapo ambao watapingana na wewe.Na wapo ambao hawatajali hata unafanya nini. Kwenye maisha usifanye kitu kwa kutaka uwafurahishe watu, hiyo ni kazi ngumu ambayo hutakuja kuimaliza kamwe. Kama kuna chochote unataka kukifanya kwenye maisha yako, …

Ukiwa Huna Kitu Hiki, Usifungue Biashara

Methali ya wachina inasema, kama huna tabasamu, usifungue biashara. Unapokuwa kwenye kile unachofanya kifanye huku ukiwa una tabasamu. Kwa kuvaa uso wa tabasamu utawavutia watu wengi lakini ukiwa na kisirani hutawavutia watu wengi. Hakuna mtu anayependa kusikia matatizo yako. Watu wanapenda kukuona ukiwa unafanya kazi au biashara kwa tabasamu au furaha. Watu tayari wana matatizo …

Usioteshe Mahindi Yaliyokobolewa

Pata picha unaotesha mahindi yaliyokobolewa kwenye shamba lako unafikiri utapata mazao? Au kile unachopanda kitaota? Mahindi yaliyokobolewa kwa lugha rahisi ni yale mahindi yaliyotolewa kiini yaani kande. Natumaini kila mmoja wetu anajua mahindi ya makande ambayo huwa tunayatumia kwa ajili ya chakula. Wako watu ambao wanataka kuvuna lakini wanapanda au kuotesha mahindi yaliyokobolewa kwenye ardhi. …

Haimaanishi Kwamba Mambo Ni Magumu

Kwenye maisha, mambo kutokuwa rahisi kama unavyotaka wewe haimaanishi kwamba mambo ni magumu, bali ndivyo yalivyo. Kwa mfano, mtu asipopata mauzo yale aliyopanga basi anaahirisha na kusema mambo ni magumu kweli. Mambo yasipoenda vile unavyotaka wewe utaanza kulalamika na kuona kama una kisirani au huna bahati. Wewe siyo kiranja wa dunia wa kutaka mambo yaende …

Hii Ndiyo Biashara Inayofanikiwa

Watu wengi wanajua kwamba, biashara inayofanikiwa ni ile ambayo inakuwa bora. Lakini, biashara inayofanikiwa siyo ile inayokuwa bora,Bali, ni ile inayokuwa ya kwanza kwenye akili za wateja. Kazi yako kubwa kwenye biashara yako, ni kuifanya biashara yako ifikiriwe na wateja kwenye akili zao. Mteja akishaifikiria biashara yako, pale anapokuwa anauhitaji wa kununua kitu, hana sehemu …

Ili Uweze Kufanikiwa Usizame Kwenye Haya Mambo Kabisa

Pata picha umewahi kukutana na mambo mabaya na katika maisha yako kiasi kwamba ukifikiria unazidi kuumia zaidi. Kuna watu walikunyanyasa, kukutesa, kukudhulumu na kukuumiza sana kwenye maisha yako. Hata ukikumbuka yaliyopita hayataweza kukusaidia kitu, upo hapo ulipo sasa unachagua nini? Unachagua kuendelea kuzama kwenye yaliyopita au kuangalia wapi unakokwenda? Shabaha yangu kubwa leo ni kukutaka …

Mbinu Mbili Za Kumshawishi Mtu Aliyekuzidi

Kuna wakati unataka kumshawishi mtu aweze kukubaliana na wewe lakini unajikuta unashindwa kufanya zoezi hilo labda kwa kuona yule unayetaka kumshawishi amekuzidi karibu kila kitu. Sasa kama mtu ameshakuzidi kwa kila kitu wewe utamwambia nini sasa? Kama ulikuwa na tatizo kama hilo, leo nakwenda kukupatia suluhisho lako. Pata picha kwamba unaenda kumshawishi mtu aliyekuzidi na …

Utajisikiaje kama Ukikosa Kupata Maarifa Haya

Habari njema kwako rafiki yangu, Pata picha mtu anavyokuwa anateseka na kupata maumivu ya ndani pale wanapokuwa wametofautina na rafiki, ndugu, jamaa au watu wa karibu. Nadhani unapata picha ya maumivu ambayo mtu anakuwa nayo pale anapokuwa ameumizwa na mwingine kwa namna yoyote ile? Utajisikiaje kama unaishi na majeraha ya nafsi huku aliyekujeruhi wala hana …

Vitu Unavyopaswa Kuacha Mara Moja Kama Unataka Kuwa Na Furaha

Viko vitu vingi sana vinavyowafanya watu wasiwe na furaha, lakini mimi leo nitakushirikisha kitu kimoja tu. Kama unataka kuwa na furaha, acha kitu hiki.USIPOTEZE MUDA WAKO KWENYE VITU AMBAVYO HUWEZI KUVIDHIBITI Kwenye maisha tunayo makundi ya aina mbili. Moja, vitu ambavyo viko ndani ya uwezo wako. Hivi ni vile vitu ambavyo unaweza kuvibadili kwa sababu …

Inafanya Kazi Vizuri Sana

Kabla mteja hajanunua kitu kwako anachotaka ni kupata uhakika juu ya kile unachouza kwanza. Sasa wauzaji wengi huwa hawawapi wateja uhakika. Hata mgonjwa akiwa anaumwa akimuuliza daktari je, nitapona na daktari akimpa matumaini ndiyo utapona mgonjwa anakuwa na matumaini lakini akimwambia huponi atampoteza. Na unaweza kumpoteza mteja kama hujampa uhakika wa kile unachouza. Ukimwambia hakifanyi …

Design a site like this with WordPress.com
Get started