Design a site like this with WordPress.com
Get started

Utajisikiaje kama Ukikosa Kupata Maarifa Haya

Habari njema kwako rafiki yangu, Pata picha mtu anavyokuwa anateseka na kupata maumivu ya ndani pale wanapokuwa wametofautina na rafiki, ndugu, jamaa au watu wa karibu.

Nadhani unapata picha ya maumivu ambayo mtu anakuwa nayo pale anapokuwa ameumizwa na mwingine kwa namna yoyote ile? Utajisikiaje kama unaishi na majeraha ya nafsi huku aliyekujeruhi wala hana hata habari?

Unayo machaguo mawili leo, moja kupata suluhisho la maumivu unayopitia au kuendelea kuvumilia maumivu hayo, usiwe na wasiwasi ukiwa utasoma kitabu cha Kwanini Msamaha Why Forgiveness Basi nakuhakikishia kitakusaidia sana.

Kitu kimoja cha mwisho jipatie nakala yako sasa hivi kwa bei ya ofa ya shilingi elfu 10 tu na utatumiwa popote pale uliko, utajisikiaje kukosa kitabu kizuri kama hiki? Wahi kabla nakala hazijaisha kwani ni chache mno na watu wengi wanakihitaji kwa ajili ya kutibu majeraha ya nafsi zao.

Karibu na Asante sana, Je, nakala ngapi unafikiri zitakutosha pamoja na watu wako wa karibu ukiwanunulia?

Leave a comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: