Faida Ya Juhudi Unazoendelea Kuweka

Kiasili juhudi yoyote unayoweka, huwa haipotei bure. Kila juhudi unayoweka kwenye eneo lolote lile la maisha yako litazaa matunda mazuri. Ukiweka juhudi kwenye kuongeza kipato chako zaidi, utapata matokeo mazuri unayotaka kuyaona. Hata kama kwa sasa huyaoni yatakuja kukulipa baadaye. Jipatie nakala yako leo kwa bei ya ofa shilingi elfu 5 tu, 0717101505/0767101504 piga namha …

Hawa Ndiyo Watu Ambao Wanafanikiwa Sana Duniani

Ni wale ambao wana uwezo wa kuuza, wale ambao wanaweza kuuza wanafanikiwa kuliko wasioweza kuuza. Kadiri mtu anavyokuwa bora kwenye kuuza, ndivyo anavyoweza kupiga hatua zaidi. Watu wa mauzo ni moja ya watu wenye mafanikio makubwa sana kwa ujumla ukilinganisha na watu wengine. Ndiyo maana kila mmoja anapaswa kujifunza mbinu za mauzo kwa sababu kila …

Dunia Itafanya Njama Na Wewe

Pale unapojitoa kweli kupata kile unachotaka kwenye maisha yako, dunia inakuwa inafanya njama na wewe kuhakikisha unapata kweli kile unachotaka kwenye maisha yako. Jitoe sana kwenye kile unachotaka hata kama hujui utapateje lakini wewe amini, nia yako na uthubutu wako utaifanya dunia kufanya njama na wewe upate kile unachotaka. Amini kweli, kila kitu kinawezekana kama …

Bora Kufikiria Kile Unachotaka

Pata nakala yako leo kwa bei ya punguzo, badala ya elfu 10, pata kwa shilingi elfu 5 tu. 0717101505 wasiliana kwa namba hiyo kupata kitabu chako. Unafikiria nini? Kile unachofikiria ndiyo kinakua. Kile ambacho unatumia muda mwingi kukifikiria kwenye maisha yako, ndiyo ambacho kinakua zaidi na kuwa maisha yako. Ukifikiria mawazo hasi unapata matokeo hasi, …

“Kwa Mkapa Hatoki Mtu”

Ni kauli ya hamasa ambayo klabu ya Simba nchini Tanzania huwa wanaitumia pale wanapokuwa wanacheza na timu inayotoka nje ya Tanzania. Pata nakala yako leo kwa bei ya ofa ya shilingi elfu 5, kupata kitabu chako wasiliana nasi kwa namba 0717101505/0767101504 Imekuwa ni kauli ambayo huwa inawapa hamasa na hatimaye wanaitumia vizuri sana kuhakikisha hakuna …

Ili Watu Wakuamini Onesha Kitu Hiki Hapa

Kuna nukuu moja ambayo taifa la Marekani wanaliishi ninalosema, In God we trust, all others must bring data. Wakiwa wanamaanisha kwamba, wanamwamini Mungu tu, lakini watu wengine lazima walete taarifa. Unaweza ukautumia kwenye maisha yako kwa sababu unafanya kazi na watu, muamini Mungu tu lakini watu wengine lazima wakuoneshe ushahidi, wakuoneshe namba. Kitu chochote kile …

Hii Ndiyo Njia Nzuri Ya Kuwapenda Watu

Njia bora kabisa ya kuwapenda watu ni kuwakubali kama walivyo. Kila mtu ana tabia zake, kila mtu ana upekee wake, uimara na udhaifu wake. Tunaweza kunufaika na wale watu wetu wa karibu kwa kuwapenda kama walivyo. Aliyekuwa raisi wa Marekani Abraham Lincoln aliwahi kunukuliwa akisema, ukitafuta ubaya kwa mtu tegemea kuupata. Kazi yetu siyo kutafuta …

Sheria Unayopaswa Kuiogopa Kwani Haina Huruma Na Mtu

Kiasili hakuna kitu kibaya wala kizuri hapa duniani. Mara nyingi huwa tunapokea kile tunachotoa. Leo nataka nikupe sheria moja ambayo ukiifuata utakua na maisha mazuri na ukienda kinyume nayo utakua na maisha magumu. Sheria hiyo inaitwa karma. Karma ni sheria ya asili ambayo inamrudishia mtu kile ambacho amekitoa kwa mwingine. Kwa mfano, ukimfanyia mtu kizuri, …

Kama Unataka Kupata Mafanikio Usipuuze Eneo Hili Muhimu

Maisha yetu yako katika mfumo wa biashara. Kila mmoja wetu kuna kitu anauza au anatoa kwa wengine ndiyo maana anapata kile anachotaka. Mtu ambaye hana anachotoa kwa wengine, maisha yake yanakuwa magumu. Msingi wa kupata ni kutoa. Sasa wakati mwingine watu wengi huwa wana vitu vizuri sana ambavyo vinaweza kuwa msaada kwa wengine lakini cha …

Jinsi Unavyojiona Dunia Ukiwa Umefanikiwa

Ukiwa umefanikiwa unaiona dunia tofauti kabisa na ukiwa hujafanikiwa. Kabla hujafanikiwa unakuwa unajali sana watu wanakuchukuliaje na hii inakuwa inapelekea kufanya vitu kuwaridhisha wengine. Ukishaanza kujali sana wengine wanakuchukuliaje, inakuwa kikwazo kwako kukuzuia kufanikiwa zaidi. Lakini, ukiwa umefanikiwa unakuwa hujali sana watu wanakuchukuliaje, kwa sababu unajua hilo halina athari kwenye mafanikio yako.Kitu ambacho kinakufanya ufanikiwe …

Design a site like this with WordPress.com
Get started