Njia Pekee Ya Kufanikiwa Kwenye Maisha

Ni mtu kutumia kile ambacho kipo ndani yake, kukifanyia kazi na kuweza kutoa matokeo mazuri. Kila mtu ana kitu ambacho kipo ndani yake, kitu ambacho ni tofauti kabisa na watu wengine. Lakini, wengi wamekuwa hawafanyii kazi kilichopo ndani, ila wanakimbizana na vitu vya nje. Huwezi kufanikiwa kwenye kitu chochote kile kama umeshindwa kutumia vizuri kile …

Sababu Mbili Zinazowapelekea Watu Kununua

Kwanza unapaswa kujua kwamba watu hawanunui kwa sababu ya bei. Watu wananunua kwa sababu ya thamani na mapenzi. Usijidanganye kwamba watu wananunua kwa sababu ya bei kuwa chini. Kwenye mauzo watu wamekuwa wanajidanganya kwamba sababu za watu kutokununua ni kwa sababu hawana fedha au kitu ni bei ghali. Hivyo wengi hukimbilia kupunguza bei wakiamini ndiyo …

Watu ni Wazuri Sana Kwenye Kitu Hiki

Watu ni wazuri sana kwenye sababu. Waulize watu kwanini hawajafanya au kwanini maisha yao yako hivyo walivyo watakupa sababu. Ukiwapa watu majukumu fulani usipowapa namba ya kuifikia lazima watakupa sababu. Na nimekuja kugundua sababu hizi tunazojipa ni sababu za uvivu na uzembe. Yaani sababu ndiyo imekuwa kificho cha watu wengi ambao hawataki kuchukua hatua kwenye …

Dhambi Kuu Tatu Zinazowakwamisha Watu Wengi Kwenye Mafanikio Yoyote Yale

Hakuna ambaye hajui anatakiwa kufanya nini kwenye maisha yake. Kama kila mtu anajua kile anachotakiwa kufanya unafikiri kitu gani ambacho kinawakwamisha watu? Utajisikiaje leo unakwenda kuvijua vitu hivyo na kuchukua hatua? Watu wanakwamisha na dhambi hizi ambazo nakusihi sana rafiki yangu uzikatae kwa kila namna. Moja ni uzembe. Uzembe ni kufanya mambo kimazoea.Kufanya vitu kwa …

Ukitaka Kuuza Sana Gusa Hisia Hizi Za Mteja Wako

Watu huwa wanaongozwa na hisia kuu mbili.Moja hisia ya kupata na mbili ni hisia ya kupoteza. Ukitaka kuuza, hakikisha unagusa hisia za wateja wako. Hisia kama za maumivu, kupoteza, matumaini, hofu nk. Unapaswa kujua kwamba, watu hawafanyi manunuzi kwa njia ya fikra bali hisia. Unagusa hisia za wateja wako pale biashara yako inapokuwa halisi na …

Usiwe Na Mtazamo Huu Kuhusu Mteja Unayefanya Naye Biashara au Kazi

Ni imani yangu kwamba ,kila mtu anauza na kila mtu ana kitu anauza. Kama umeajiriwa basi unauza ujuzi na muda wako. Kwa namna yoyote ile kila mtu ana kitu anauza, bila kuuza maana yake hauna maisha. Na kazi ya mauzo ni kazi inayokuhusisha na watu kifupi unaweza kusema ni mteja. Usiwe na mtazamo hasi kuhusu …

Sina Uhakika Kama Itakufaa Lakini Kuna Kitu Kimoja Hapa Napenda Ujifunze

Rafiki yangu, sina uhakika kama itakufaa lakini jifunze kutokujali wengine wanakuchukuliaje. Watu wengine huwa wanakosa raha pale wanapokuwa wanafikiria wengine watawachukuliaje. Kwenye maisha yako, usijali kuhusu wengine watakuchukuliaje bali wewe ishi vile utakavyo kikubwa tu usivunje sheria za asili na nchi. Ukijali sana wengine watakuchukuliaje utashindwa kufanya kazi yako na kuishi maisha yako. Nipende tu …

Hakuna Njia Rahisi Ya Kupoteza Hela Kama Hii

Kuigiza una hela. Watu wengi wanaopoteza fedha sana ni wale wanaotaka kuonekana au kuigiza kama wana hela au kitu fulani. Kumbuka maisha ni maigizo , kadiri unavyoigiza una hela lazima kuna gharama utaingia ili uonekane una hela. Utaigiza uko na kitu fulani, utaigiza uko mazingira fulani ambayo unataka watu wengine wakuone kama vile una hela …

Wape Watu Hawa Kipaumbele

Ni familia yako. Pata picha ukiumwa au ukipata tatizo ni nani anakua yuko tayari pamoja na wewe? Ni familia yako. Ukiumwa familia yako ndiyo inayopambana kuhakikisha unakua bora lakini watu wa nje hawatakua na habari na wewe. Kwa mfano, mke au mume ukiumwa atakayekuhangaikia ni mke au mume wako lakini siyo mchepuko wako. Hapo unapata …

Changamoto Zote Kwenye Biashara Zinatatuliwa Na Kitu Hiki Kimoja

Ni mauzo tu. Mauzo ndiyo yanayotatua changamoto kwenye biashara. Kama biashara haina mauzo lazima itakua na changamoto nyingi. Kwa sababu mauzo ndiyo yanaleta fedha kwenye biashara. Na fedha ikiwepo kwenye biashara, biashara lazima itaenda vizuri. Fedha itakusaidia kujilipa, kulipa gharama za biashara, kuajiri watu bora, kulipa kodi na gharama zingine ambazo fedha inaweza kutatua. Mauzo …

Design a site like this with WordPress.com
Get started