Siko hapa kukuhubiria injili bali niko kukuambia vitu viwili tu ambavyo vinawakwamisha watu wengi kufanikiwa kwenye maisha yao. Hata kwenda mbinguni ni mafanikio pia lakini siyo kila mtu ataenda mbinguni kwa sababu ya yale anayofanya. Tabia ulizonazo na yale unayofanya unafikiri yatakufikisha kule unakotaka kufika? Acha utani, weka kazi hakuna kitu kirahisi. Ingekuwa rahisi kila …
Continue reading "Kama Unataka Kwenda Mbinguni Epuka Kufanya Dhambi Hizi Hapa Mbili"