TAFAKARI YA JUMA LA 6 NA MAMBO KUMI NA MOJA NILIYOJIFUNZA

Mpendwa rafiki, Hongera sana kwa kuwa na mwisho mzuri wa juma hili la sita. Natumaini yapo mengi uliyofanya na umepigwa hatua ukilinganisha na juma lililopita. Kama kila juma hupigi hatua maana yake unarudi nyuma. Kumbuka maisha yana kwenda mbele na siyo  kurudi nyuma. Katika kujitafari juma hili la sita nimejifunza mengi na sasa nakualika na …

Kama Familia Yako Ina Matatizo Hili Hapa Ndiyo Jibu

Rafiki, Familia ndiyo msingi wa maisha ya kila binadamu. Kila mmoja wetu amezaliwa katika familia na ni mpango wa Mungu kila mmoja wetu kuzaliwa ndani ya familia. Hivi ni nani kati yetu ambaye hajazaliwa katika familia? Kila mtu kazaliwa na baba na mama hakuna aliyejileta duniani. Ukiangalia mfumo wa familia basi utajua kabisa kuna kusudi …

Jambo Muhimu La Kufanya Katika Safari Ya Mafanikio Ili Ujisikie Raha

Mpendwa rafiki yangu, Kila siku tunafanya kazi, tunakusanya fedha, tunapiga hatua moja kwenda nyingine hata umri wetu tulionao unabadilika kila siku. Kumbe mafanikio tunayopata kila siku ni makubwa sana katika safari ya mafanikio. Kama leo uko mbele zaidi ya jana hayo nayo ni mafanikio. Nimeona watu wengi wamejikinai wao wenyewe dhidi ya maisha yao. Wanaona …

Kama Husemwi Katika Maisha Yako, Basi Hufanyi Kitu Hiki Hapa Kimoja

Rafiki yangu mpendwa, Hakuna mtu ambaye ana akili zake timamu ataweza kwenda kumpiga teke mbwa aliyekufa. Itakuwa ni jambo la ajabu sana. Hakuna mtu mwenye akili timamu pia, atakwenda kurusha mawe kwenye mti ambao hauna matunda. Ukichukua mti wa mwembe ukaenda ukauweka katika ya shule ya msingi na ukachukua mti ambao hauna matunda ukaenda ukaweka …

Chanzo Cha Tatizo Halipatikani Eneo Hili Hata Siku Moja

Mpendwa rafiki, Huwezi kutibu tatizo bila kujua kiini cha tatizo. Huwa tunakimbilia sana kutatatua matatizo yetu lakini kosa tunalofanya ni kutojua kiini cha makosa hayo ili tuweze kuyatibu vizuri. Muda mwingine tunaongozwa na hisia katika kutatua matatizo yetu badala ya kutumia akili. Hatuwezi kufikia ufanisi wa kutatua matatizo bila kuongozwa na akili. Tunatatua matatizo wakati …

Hii Ndiyo Zawadi Ya Matatizo Unayotatua

Kama tunavyojua kuwa msingi wa fedha duniani ni kutoa thamani. Hivyo basi, Tusitegemee kupata fedha kama hakuna thamani yoyote tuliyopanga kuitoa. Kila mmoja wetu anamiliki kiwango cha fedha kadiri ya aina ya matatizo anayotatua kila siku. Kwa mfano, mwalimu anatatua tatizo la ujinga, askari anatatua tatizo la usalama. Je wewe unatatua tatizo gani ili uweze …

Huu Ndiyo Muda Ambao Siyo Wako

Rafiki, Kila mmoja wetu ameshawahi kupata adhabu ya muda, muda huwa unatuwajibisha bila kujali mtu wa aina yoyote ile. Huwa mara nyingi tunapopanga kufanya kitu sasa tunapata hisia za kuahirisha na kusema baadaye tutafanya. Lakini ukweli ni kwamba baadaye inakuja kutuadhibu vibaya sana, kile tunachopanga tunashindwa kukifanya kwa sababu mambo huwa yanaingiliana tena. Kuna muda …

Jinsi Ya Kupata Ushindi Kwenye Kile Unachotaka

Mpendwa rafiki, Natumaini unapoamka asubuhi tu salama kabla hujaenda kwenye shughuli zako huwezi ukasema leo ninakwenda kutafuta kushindwa, bali utasema leo nakwenda kutafuta ushindi. Kumbe basi, kadiri ya kila mtu huwa anatafuta ushindi ulipo. Iko njia rahisi sana ya wewe kupata ushindi kwenye kile unachotaka, tunakosa ushindi kwenye kile tunachotaka kwa kukosa njia sahihi ya …

Badilisha Kwanza Tabia Zako Ndiyo Utaweza Kufanikiwa

Mpendwa rafiki, Hakuna mafanikio ya kitajiri bila kuwa na tabia za kitajiri. Usitegemee uendelee kuwa na tabia za kimasikini halafu uwe tajiri. Kama tunavyojua mwanga na giza ni vitu viwili ambavyo havikai sehemu moja. Dawa ya giza ni mwanga, hivyo giza haliwezi kukaa na mwanga sehemu moja vivyo hivyo tabia za kimasikini na kitajitiri ni …

Hiki Ndiyo Kitu Pekee Kitakachokupa Mafanikio Makubwa

Rafiki, Kila mmoja wetu anapenda mafanikio katika maisha yake. Ambaye hapendi mafanikio basi huenda hayuko katika sayari hii ya dunia. Kila siku tunaweka juhudi za kuwa bora katika maisha yetu ili tuweze kuwa na mafanikio kwenye kila eneo la maisha yetu. Tunapambana usiku na mchana kutafuta mafanikio, kutafuta ubora, tunaenda semina, tuko katika program maalumu …

Design a site like this with WordPress.com
Get started