Kitu ambacho kinafanywa na wengi katika jamii ndiyo huonekana ni sahihi hata kama siyo sahihi. Watu wanapenda sana kuwa ndani ya kundi ili waonekane nao wako kama wengine. Muda mwingine tunaingia kwenye kundi ili tusipitwe na wakati, wako ambao walikuwa hawajajiingiza kwenye mikopo lakini walipoona wengine wanafanya nao wakavutiwa kuingia kwa fikra za kundi. Watu …
Continue reading "Hiki Ndiyo Kitu Cha Kuchagua Pale Unapokuwa Ndani Ya Kundi"