Kwanini Mali, Utajiri Au Fedha Ni Nguvu

Fedha ni jawabu la mambo yote. Fedha ni muhimu kweli na kila mtu ana lijua hilo. Hata kukusoma hapa umetumia fedha ingekuwa huna fedha usingeweza kuingia kwenye mtandao huu. Watu wengi wamekuwa na unafiki sana kwenye suala la fedha. Unafiki wenyewe uko pale ambao watu wanajifanya hawataki fedha au mali au utajiri kumbe wanahitaji na …

Vitu Vyote Tunavyovitafuta Tunasukumwa Na Vitu Hivi Viwili

Jinsi unavyoyaona maisha ya binadamu yalivyo mchakamchaka kila siku.  Tunapambana huku na huko ili kupata mafanikio tunayotaka lakini kuna vitu viwili vinavyotusukuma kila siku. Kila binadamu anasukumwa na vitu hivi viwili kwenye maisha yake ya kila siku. Vitu venyewe ni; Kupata kile tunachotaka (furaha). Kila mmoja wetu anasukumwa  kila siku ili kuweza kupata kile anachotaka …

Hii Ndiyo Aina Ya  Upendo Ambao Wazazi Wanapaswa  Kuonesha Kwa Watoto Wao

Ukienda dukani kununua simu, pasi, TV unanunua kile kitu ukiwa umepewa namna ya  kukitumia kile kitu,ndani ya bidhaa utakuta kuna karatasi ya maelekezo. Hivyo basi, mtoto anapozaliwa hospitali hakuna kitabu cha maelekezo ambacho utapewa namna ya kumlea mtoto. Wengi wanajikuta wanawalea watoto kadiri ya wao walivyolelewa. Watoto mara nyingi wanapenda kujifunza kutoka kwa wazazi wao …

Hakuna Kazi Ngumu Kama Hii

Sijawahi kusikia mtu amekufa kwa sababu ya kazi. Ila uvivu wa watu ndiyo unawafanya watu kuona kazi ni ngumu. Lakini hakuna kazi bila kazi. Kila kitu kinahitaji kazi ili uweze kuona matokeo yake. Kwa wajapani, kuifia kazini ni ushujaa mkubwa lakini kwa jamii yetu wengi kazi wanaona kama vile ni adhabu lakini kwa wenzetu kuifia …

Jinsi Ya Kuanza Siku  Yako Ukiwa Na  Fikra Nyingi Za Kifedha

Mpendwa rafiki yangu, Kila siku dunia inabadilika, hivyo usipokuwa ni mtu wa kubadilika na wewe lazima utaanguka vibaya. Uchumi unabadilika hata asili siku hizi ibadilika, watu waliokuwa wanategemea mvua ili wa lime lakini mwaka mambo yamekwenda tofauti. Kwahiyo, tuwe tunajiandaa na chochote kinaweza kutokea hakuna hali ya kudumu. Usiwe kama mti, kuwa mtu unayeweza kubadilika, …

Jinsi Ya Kuwasha Moto Wa Hamasa Ndani Yako

Watu wengi wanaamua kufanya kitu fulani kwa sababu ya hamasa. Hamasa iliyoko ndani yetu ndiyo inatusukuma kuthubutu jambo fulani. Mara nyingi pale tunapokuwa na hamasa ya kazi fulani tunakuwa kama vile tuna moto ndani yetu unaowaka na hatuwezi kuuzima kwa kuongea bali kwenda kufanya kile ambacho kipo ndani yetu. Na muda mzuri wa kufanikiwa jambo …

Kama Unataka Kuona Maisha Yako Ni Bora Fanya Kitu Hiki Kimoja

Rafiki, Kila mtu maisha yake ni bora kuliko ya mwingine kama kila mmoja wetu akiishi maisha yake. Maisha ya kujilinganisha na mwingine ni maisha ambayo hayana maana kuishi. Kujilinganisha na mwingine ni mwizi wa furaha yako. Ukitaka tu kujiona wewe uko tofauti na wengine anza kujilinganisha utatamani kuyakimbia maisha yako. Hakuna anayejilinganisha na mwingine halafu …

Jiandae Kuwa Mbahili Katika Msimu Huu Wa Sikukuu

Rafiki yangu, Katika msimu wa sikukuu watu ndiyo wanaongoza sana kutumia hela, wako wanaoingiza sana na wako wanaotumia sana fedha. Huwa wengi wanaongozwa sana na hisia katika matumizi ya fedha. Usikubali kutumia hisia katika matumizi ya pesa katika msimu wa sikukuu. Ukiruhusu hisia zikutawale, utajikuta unanunua vitu ambavyo huna hata uhitaji nao, sijakuambia usinunue kitu …

Haya Ndiyo Maisha Ambayo Hayana Msingi Wa Kuishi

Rafiki, Usiishi tu kama mbuzi, bali ishi kama binadamu mwenye uwezo mkubwa wa akili.  Ishi kwa malengo, unatakiwa kuwa na malengo ya siku, wiki, mwezi na hata mwaka.  Usipokuwa na malengo ya kitu chochote utapoteza siku, muda bila kujua hata muda na siku zimeishaje. Wengi hawajiongozi kwa ratiba tokea wanapoamka asubuhi na mapema bali wanaongozwa …

Hiki Ndiyo Kitu Ambacho Hakifichiki Katika  Utendaji Wa Kazi

Rafiki yangu mpendwa, Kazi ni asili ya kila mwanadamu hapa duniani. Ukikataa kufanya kazi maana yake umechagua kuwa mtu wa hovyo. Mtu asiyetaka kufanya kazi ni wa hovyo maana hatapendwa na yeyote, kila mtu atamkwepa maana ni mzigo. Amka asubuhi na nenda kafanye kazi, ipende kazi na jua kabisa kazi ndiyo rafiki yako kwa sababu …

Design a site like this with WordPress.com
Get started