Rafiki, Tunaalikwa kushukuru kwa kila jambo, lakini siyo kila jambo tunapaswa tu kushukuru nitakuambia baadaye kivipi. Kushukuru ni utamaduni wa kila mwanadamu, tukikosa kushukuru basi tutakuwa hatuna fadhila. Tunaposhukuru ndiyo tunatengeneza nafasi ya kupata zaidi. Kitu ambacho kipo ndani ya uwezo wako halafu umeshindwa kukifanya hupaswi kukaa chini na kusema nashukuru kwa kila jambo. Unashindwa …
Continue reading "Hivi Ndivyo Vitu Ambavyo Hupaswi Kushukuru Kwenye Maisha Yako"