Jinsi Ya Kuishi Katika Nyumba Yako Mpya na Kuwa na Gari Lako Jipya

Rafiki yangu, Naanza kwa kusema mchezo mzima wa mafanikio unaanzia akili kwako. Akili yako ndiyo inaunda kile unachotaka katika maisha yako. Akili yako ni sumaku huwa ina tabia ya kuvuta kile unachowaza mara nyingi. Je namna gani unaweza kuwa na nyumba yako mpya na gari lako jipya? Ni rahisi tu, weka nyumba au gari unalotaka …

Katika Nafasi Yoyote Ya Uongozi Uliyonayo Hakikisha Una Kuwa Na Kitu Hiki

Mpendwa rafiki, Katika uongozi wowote ule unahitaji utu, siyo kwamba wewe ukiwa kiongozi ndiyo unatakiwa kutumia matakwa yako kama vile unavyotaka wewe. Yaani wewe uko juu ya sheria, yaani rule of law. Tunatakiwa kutumia matakwa yetu vizuri, ili tuwe na uongozi bora ndani yetu tunaalikwa kuwa na kitu hiki; Unyenyekevu, tunaalikwa kuwa na unyenyekevu katika …

Uko Kundi Gani Kati Ya Haya Mawili

Rafiki, Maisha yetu yanaathiri watu wengine kwa kiasi kikubwa sana, kama tutakuwa tunaishi maisha yenye mchango chanya kwa wengine basi tutatukuwa tunawaathiri sana wengine na kufanikiwa kwa vile tunavyofanya na tunavyoishi. Leo hii nakupa kazi moja rafiki yangu, nenda kajitafakari je wewe unasemwa kwa mazuri au mabaya? Dunia huwa inatupa kile tunachokitoa nje, usitegemee unatoa …

Usiishi Bila Kuwa Na Kitu Hiki Katika Maisha Yako

Sisi binadamu ni viumbe wa hisia na kila binadamu yuko katika mahusiano ni mpango wa Mungu kila bindamu kuwepo katika mahusiano. Una mahusiano ya familia yako, wazazi, ndugu, nakadhalika. Mahusiano ndiyo yanafanya maisha yetu kuwa mazuri au mabaya. Kama tukiwa na fedha na mahusiano yako vizuri basi maisha yanakuwa mazuri na ya kitajiri, kwani maisha …

Siku Hii Ya Leo Nenda Katawale Kitu Hiki Moja Na Utakuwa Na Siku Bora

Rafiki, Kila mtu anataka kuwa na siku bora, hivyo huwezi kuwa na siku bora kama hujui jinsi ya kuwa na siku bora katika maisha yako. Ukitaka kuwa na siku bora, tawala kwanza mawazo yako. usikubali uendeshwe na hisia yoyote bali kubali kuingozwa na akili kwanza. Chochote unachotaka kufanya rudi kwanza kwenye kufikiri kwanza kabla ya …

Jijengee Tabia Hii Muhimu Katika Mambo Ya Fedha

Rafiki, Kila kitu katika maisha yetu ni tabia. Tabia tulizonazo leo tulizianzisha sisi wenyewe hivyo katika kila jambo huwa tuna vuna kile tulichopanda. Matokeo unayopata sasa hivi ni kutokana na kile ulichopanda. Hata katika mambo ya fedha tabia ulizonazo leo ni kutokana na tabia ulizojijengea huko nyuma. Unachotakiwa sasa ni kuvunja tabia zote hasi ambazo …

Hiki Ndiyo Kitu Kinachofanya Ndoa Yako Kuwa Nzuri

Rafiki, Unapokuwa umeingia katika maisha ya ndoa ni kama vile umechagua kazi ya kufanya kila siku na usipofanya hiyo kazi uliyochagua kufanya lazima mambo yataenda ndivyo sivyo. Ukiwa kwenye ndoa kila mmoja anakuwa amekabidhiwa shamba lake alime. Sasa watu wengi wanasahau mashamba yao wanajikuta wako bize na mashamba ya watu matokeo yake mashamba yao yanaota …

Kama Kila Mtu Angepewa Mamlaka Haya Dunia Ingekuwaje

Rafiki yangu, Hivi kama kila mtu angepewa mamlaka ya kusema dunia ingekuwaje? Kama kila mtu angepewa mamlaka ya kutoa amri dunia ingekuwaje? Jamii zetu zingekaa kwa amani? Tunaweza kujifunza kwenye maeneo mengi ya maisha yetu, kwa mfano, kama kila askari angekuwa anatoa amri jeshini je jeshi lingekuwaje? Kwenye kila sehemu ambayo tupo yuko mtu ambaye …

Hiki Ndiyo Kitu Unachopaswa Kuwaonesha Watu

Mpendwa rafiki, Tulipoanza mwaka kila mmoja wetu aliweza kuweka malengo na mipango mbalimbali lakini, ni watu wachache sana walioweza kwenda na malengo na mipango waliojiwekea. Kupanga ni kazi rahisi ambayo kila mmoja anaiweza kufanya. Lakini utekelezaji ndiyo kazi ngumu ambayo kila mmoja wetu anashindwa kuifanya. Tumekuwa ni watu tunaojivunia malengo au mipango tuliyonayo kwa wenzetu, …

Sehemu Pekee Ambayo Unapaswa Kuweka Nguvu Zako Ili Upate Mafanikio

Rafiki, Kuna vitu viwili muda na nguvu. Unaweza ukawa mzee una muda wa kutosha lakini huna nguvu ya kufanya kazi. Hivyo basi, tunatakiwa kulinda sana nguvu zetu sasa, maisha yetu yawe bora tunatakiwa kutumia nguvu zetu vizuri na kuzielekeza sehemu sahihi na siyo vinginevyo. Huwa tunakosea kitu kimoja, watu wengi wanatumia nguvu kutafuta mali na …

Design a site like this with WordPress.com
Get started