Hii Ndiyo Maana Halisi Ya Maadili Hapa Duniani

Watu wamekuwa ni watu wa kushikilia maadili ambayo hayana maana. Tunashikilia maadili hata kama si sahihi kwa sababu ya nidhamu ya uoga. Katika kuendesha dunia kwa usawa tunatakiwa kuangalia kuongozwa na akili kuliko hisia na tuwe huru kubadilisha chochote kile katika maisha yetu pale tunapoona kitu hiki siyo sawa hata ndiyo utaratibu ulioweka. Watu wenyewe …

Tofauti Kuu Tatu Kati Ya Tajiri Na Masikini

Mpendwa rafiki yangu, Sidhani kama kuna mtu ambaye amekuja hapa duniani na kujiwekea ndoto ya kuwa masikini. Kila mmoja wetu anapenda maisha mazuri na vitu vizuri. Tunakuja kupata changamoto ya kuwa na maisha hayo tunayotaka pale katika utafuti wa kuwa na vile tunavyotaka. Wote tunajua kabisa ili tufanikiwe tunahitaji kufanya nini lakini njia ya kufanikiwa …

Jinsi Ya Kujihamasisha Wewe Mwenyewe

Mpendwa rafiki yangu, Watu wengi wanakata tamaa kwa sababu ya kukosa hamasa, wako ambao wanayaona maisha yao hayana maana ya wengine ndiyo yenye maana. Wengi wanayadaharau maisha yao na kushindwa kujikubali hata kwa kile kidogo walichonacho. Tusipojifunza jinsi ya kujihamasisha sisi wenyewe na kusubiri watu wegine ndiyo waje kutuhamasisha tutazidi kuyachukia maisha yetu na mwisho …

Huyu Ndiyo Mtu Wa Kuwa Naye Makini Zama Hizi

Rafiki, Zama zimebadilika sana, watu wamekuwa na tabia ambazo huwezi kuziamni. Changamoto ya sasa kila mtu anaweza kuwa rafiki yako na adui yako. watu wanavaa ngozi ya kondoo kujifanya wao ni watu fulani kumbe siyo ili waweze kukutapeli. Katika zama hizi unapaswa kuwa makini kwanza na wewe mwenyewe. ukishakuwa makini kwanza wewe mwenyewe utaepuka kutapeliwa …

Jifunze Kitu Hiki Kama Unataka Kufanikiwa

Rafiki, Wengi tunapenda kufanikiwa huku tukitaka tuendelee kubaki na maisha yetu ya mazoea. Mtu anataka kufanikiwa huku akitaka aendelee kulala sana, anataka kupunguza uzito huku akiendelea kula vile anavyotaka na hataki kufanya mazoezi. Kutaka mafanikio bila kulipia gharama ni ujinga wa hali ya juu sana. Hakuna matokeo unayoweza kupata bila kulipia gharama yake. Ukitaka kufanikiwa …

Jiandae Kwanza Kabla Ya Mabadiliko Hayajatokea

Huwa tunaisubiria mpaka mabadiliko yatokee ndiyo tuanze kuchukua hatua. Huwa tunajua kabisa tuna misimu ya baridi, jua au mvua hivyo tunatakiwa kujiandaa kukabiliana na baridi kabla baridi haijaanza kutokea. Huwa watu wanaingia kwenye gharama kubwa pale wanapofanya uzembe wa kutochukua hatua mapema. Kwa mfano, kipindi cha jua Unaweza kununua vitu vya kujikinga na baridi kwa …

Tabia Ya Kuiepuka Kufanya Katika Mahusiano Ya Ndoa

Mpendwa rafiki yangu, Ni rahisi sana kumfundisha mtu kazi lakini siyo kumfundisha mtu tabia. Ni kweli watu wanapounganika na kuishi kuwa kitu kimoja ina hitaji kazi. Kwa sababu kila mtu ana tabia zake za toke alivyo zaliwa ndiyo maana pale wanandoa wanapokuwa wanapambana kila mmoja kumrekebisha wenzako na kuona kuwa yeye ndiyo yupo sahihi kadiri …

Epuka Kufanya Kiapo Isipokuwa Sehemu Hii

Rafiki, Tumekuwa ni watu wa kuahidi vile tunavyoweza sisi wenyewe. Mara nyingine tunaahidi hata tukiwa na hisia halafu baadaye tunakuja kujilaumu kwa kile tulichofanya sisi wenyewe. Tunaalikwa kuwa huru, usiahidi kama uko kwenye hisia, na usiahidi kama huwezi kutekeleza kile unachoahidi. Jipe muda wa kufikiria kabla hata hujaahidi. Mtu akikuambia ahidi, usikubali kuahidi pale pale, …

Hiki Ndiyo Kitu Ambacho Hakikosekani katika Ratiba Ya Watu Wanaoishi Siku Zao Kitajiri

Mpendwa rafiki yangu, Kuna watu huwa wanazianza na kuziishi siku zao Kimasikini. Kuanza siku kwa kutumikia wengine bila kujitumikia wewe mwenyewe huo ni umasikini. Unaanza siku kwa kuchukua simu bila hata kusali na kutembelea mitandao ya kijamii kutaka kujua nini kimejiri, huu ni umasikini na utumwa. Unatakiwa kuishi siku yako kitajiri, unaamka na kuanza siku …

Hii Ndiyo Sifa Ya Watu Wengi Waliofanikiwa

Rafiki, Watu wengi waliofanikiwa huwa  wanakuwa na sifa moja ambayo inafanana. Mtu aliyefanikiwa utamjua tu hata kwa kumwangalia kwa macho. Mtu aliyefanikiwa huwa hajioneshi bali mafanikio yake mwenyewe ndiyo yanajionesha kuwa yeye ni mtu wa namna gani. Watu waliofanikiwa wanasifa moja ambayo ni ya unyenyekevu. Watu waliofanikiwa wanakuwa wana unyenyekevu kweli ukilinganisha hata na wale …

Design a site like this with WordPress.com
Get started