Falsafa Ya Kwanza Ya Kuwa Nayo Kabla Hujaanza Safari Ya Mafanikio

Mpendwa rafiki yangu, Kama umeamka na hujui unakwenda kufanya nini ni bora urudi ukalale, kabla ya kulala unatakiwa ujue kabisa kitu chako cha kwanza kufanya ni nini baada tu ya kuamka. Kutokujua nini unakwenda kufanya siku inayofuata ni rahisi sana kupoteza siku yako. Jinsi ilivyo  rahisi kupoteza siku yako ndivyo ilivyo hata katika ndoto ya …

Chanzo Kikuu Cha Umbea Katika Jamii Zetu

Mpendwa rafiki yangu, Katika jamii yetu umbea limekuwa ni jambo la kawaida kwa watu wengi. Watu wamefungua kurasa zao katika mitandao ya kijamii kwa ajili tu ya kuripoti umbea. Watu wamekuwa mabingwa wa kufuatilia habari za umbea kama vile zinawalipa na kusaidia kuendesha maisha yao. Ziko sababu nyingi sana za umbea lakini hii sababu ambayo …

Hiki Ndiyo Kitu Adimu Kwenye Zama Hizi Za Maarifa

Mpendwa rafiki yangu, Zama tunazoishi kila mtu yuko bize, lakini ukimuuliza mtu yuko bize na nini hawezi kukuambia  na mwisho wa siku anakuja kumaliza siku yake akiwa hana alichofanya cha maana huku ukiangalia alikuwa bize siku nzima. Huwa tunaishi maisha ambayo siyo yetu, tunaishi maisha ya kuigiza sana. Tunaonekana kwa nje tuko vizuri lakini ndani …

Njia Nzuri Ya Kutengeneza Fedha

Mpendwa rafiki yangu, Wote tunajua kuwa fedha ni muhimu sana kwenye maisha yetu kupita hata maelezo. Kila mahali fedha inakubalika na ndiyo leo inatusaidia kuendesha hata maisha yetu ya kila siku. Tukiwa na fedha mambo mengi yanawezekana. Ni wajibu wa kila mmoja kuwa na fedha, hakuna faida ya mtu kukaa masikini, kila mtu ajitume kufunga …

Njia Nzuri Ya Kushawishi Watu

Mara nyingi watu wanapenda kuonekana wako sahihi hata kama hawako sahihi. Watu wanapenda kuheshimiwa na mawazo yao. Watu wanapenda kuthaminiwa na kadiri ya kile wanachokiamini. Kama unataka kumshawishi mtu kamwe usiende kwa gia ya kumfosi akubaliane na wewe kwanza, hapana, anza kwa kukubaliana naye kuwa yuko sahihi kwenye kile anachokiamini halafu ndiyo utaweza kuweka hoja …

Jinsi Ya Kusalimika Kwenye Zama Hizi Za Ushindani Mkali

Mpendwa rafiki yangu, Zama tunazoishi ni zama ambazo zina ushindani mkubwa sana, kitu ambacho unakiona ni cha uhakika kinaweza kisiwe cha uhakika hapo baadae. Maarifa yanabadilika kwa kasi sana, tafiti mpya zinazalishwa kila siku. Maarifa uliyonayo sasa huenda miaka mitano ijayo isiwe nafasi. Kila siku ni siku ya kujifunza na kuwa bora sana kwenye kile …

Siri Moja Inayowasaidia Wanamafanikio Wengi Kushinda

Rafiki, Sijawahi kumsikia mtu anayekaa chini na kupanga kuwa kesho anataka kufeli. Hakuna mtu anayekaa chini na kupanga kufeli. Hata kama mtu hapendi maisha mazuri hawezi kujinunulia mabaya. Kila binadamu anapenda raha ndiyo maana anafanya ili kupata kile anachokitaka lakini pia anaepuka kufanya ili asipate maumivu fulani. Hakuna mtu anayepanga kuumia , kila mtu anajipenda …

Kama Unathubutu Kufanya Chochote Tegemea Hili

Sisi binadamu ni kazi inayoendelea, hatusimami kila siku ni kufanya kazi kama vile moyo wa binadamu unavyofanya kazi kila siku. Ukisimama na sisi hatuna maisha maana yake na maisha pia yanasimama. Asili yetu sisi binadamu ni kazi. Ndiyo maana imeandikwa kila mmoja atakula kwa jasho lake, usitegemee utakula kirahisi bila kuumia kidogo. Mambo siyo marahisi, …

Njia Mbili Za Kutumia Ili Kuwa Na Maisha Yasiyo Na Mashaka

Mpendwa rafiki yangu, Mtu ambaye amekuwa na mashaka maana yake amekosa imani na amani ndani yake. Kuna msemo wa waswahili unasema, una wasiwasi kama vile unaoga nje. Mtu akiwa ana mashaka basi anakuwa hana imani katika maisha yake. Kuna watu maisha yao wanaishi kwa wasiwasi sana, wengine wanaishi kwa kufikiria wengine watawachukuliaje, wanawaongeleaje, wanafikiriaje. Ziko …

Jinsi Ya Kujiongezea Matatizo

Mpendwa rafiki yangu, Laiti kama kila mmoja wetu angekuwa anafanyia kazi yale anayoongea basi leo hii kila mmoja angekuwa na mafanikio makubwa. Tumekuwa ni watu wa kupanga na kuishia kuongea kwenye midomo yetu lakini hatuifanyii kazi yale malengo yetu. Tumekuwa ni watu kupika matatizo yetu sisi wenyewe. Tunajua nini tunatakiwa kufanya lakini hatufanyi. Kuepuka kufanya …

Design a site like this with WordPress.com
Get started