Habari njema ni kwamba kila kitu ni biashara hapa duniani. Hata kama umeajiriwa ni aina ya biashara ambayo wewe uko pale kuuza muda na ujuzi wako. Tunatakiwa tusifanye mambo kimazoea, kama wewe umeajiriwa basi mteja wako wa kwanza ndiyo bosi wako. Unatakiwa ufanye kitu cha ziada ili umfurahishe mteja wako na hapa ndiyo ubora wa …
Continue reading "Huyu Ndiyo Mtu Wa Kumheshimu Sana Katika Kazi Au Biashara Yako"