Kwenye Kila Tatizo Unalokutana Nalo Jiulize Swali Hili Hapa

Rafiki, Kila mmoja wetu anafanya makosa katika maisha yake. Hakuna ambaye ni mkamilifu na asili ya kila binadamu ni kukosea, tunapokosea ndiyo huwa tunajifunza. Maisha ni kama shule na changamoto tunazo kutana nazo ndiyo mitihani. Kumbe basi, tunapokimbia changamoto maana yake hutaki kwenda darasa lingine bali unataka kubaki darasa hilo hilo yaani kama uko la …

Hiki Ndiyo Kitu Ambacho Hakijawahi Kumuangusha Mtu

Rafiki, Ni kawaida katika jamii yetu watu kuona kama vile kazi ni mateso sana. Watu kufanya au kutimjza wajibu wao wanahisi kama vile ni utumwa na siyo sehemu ya maisha yao. Tukianzia katika kuamka mapema , mtu akiwa bize na kazi zake wako watakaosema fulani anateswa au anajitesa na kazi. Hapa tunajifunza kuwa licha ya …

Hii Ndiyo Kazi Ambayo Wanaishindwa Watu Wengi

Mpendwa rafiki yangu, Wote tunajua kazi ni muhimu sana katika maisha yetu, licha tu ya kuwa muhimu bali imekuwa ni asili ya kila binadamu, binadamu ni kazi huwezi kuendelea kuishi bila kuwa na kazi. Licha ya kuwa kazi inachosha lakini huna namna inabidi ufanye kazi ili uishi, sasa chagua kufanya kazi, huwezi kufa kwa ajili …

Hizi Ndiyo Hisia Mbili Zinazowasukuma Watu Kuchukua Hatua

Mpendwa rafiki yangu, Kila mmoja wetu kuna hisia mbili ambazo zinamsukuma mtu juu ya jambo fulani. Watu wa mauzo na masoko ni watu ambao wanatumia saikolojia hii kwa ajili ya kuuza kupitia biashara wanazofanya. Kila mmoja wetu kuna kitu ambacho anauza hivyo utakapozijua vizuri hisia hizi zitakusaidia katika shughuli zako za kila siku. Hisia mbili …

Hii Ndiyo Sala Bora Duniani Inayopaswa Kusaliwa Na Kila Mtu

Mpendwa rafiki yangu, Sisi binadamu tumekuwa ni viumbe ambao tumependelewa kuliko viumbe vyote duniani. Ni viumbe ambao wana akili ya kufanya mambo makubwa duniani. Wanaofanya hii dunia iendelee kupendeza ni watu na wanaofanya dunia isipige hatua ni watu. Ukifananisha miaka mia moja ya nyuma dunia ilivyokuwa huwezi ukaifananisha na sasa, hata wale wa zamani wakifufuka …

Jinsi Ya Kujiondoa Kwenye Maumivu Ya Ndani

Imekuwa ni kawaida kwa watu wengi kuwa na maumivu ya ndani. Na chanzo kikubwa cha maumivu ya ndani ni kuvumilia. Watu wengi wanapenda kuvumilia maumivu ya ndani , unakuta mtu amekwazika badala ya kuchukua hatua anavumilia yale maumivu kwa kukaa kimya au kunung'unika. Tunajisababishia sisi wenyewe maumivu ya ndani kwa kuendelea kuvumilia, kubaki na uchungu …

Hivi Ndivyo Vitu Viwili Muhimu Duniani Katika Eneo La Mahusiano

Mpendwa rafiki yangu, Kila siku asubuhi tunapotoka nyumbani na tunaporudi huwa kuna kitu ambacho kinatuunganisha. Kuna kitu ambacho kimekuwa kama mafuta yanayolainisha ngozi zetu.  Kitu hiko kimekuwa kama nyumba ya kuunganisha mahusiano yetu kwa pamoja. Kitu hiko ni familia, familia ni miongoni mwa vitu muhimu sana katika maisha yetu. Chukua muda kila siku wa kuwathamini …

Epuka Kuwafanyia Tabia Hii Wazazi Wako

Mpendwa rafiki yangu, Kila mmoja wetu yuko duniani kwa mpango wa Mungu.  Sidhani kama kuna mtu aliyewahi kuandika barua ya kuomba kuzaliwa. Hakuna aliyeandika barua ya kuomba kuzaliwa bali wote tumejikuta tumezaliwa. Pia, licha ya kuomba kuzaliwa kila mmoja wetu amezaliwa na mzazi ambaye hata hakuomba kuzaliwa naye. Hakuna aliyeomba azaliwe na mzazi fulani bali …

Huu Ndiyo Uchawi Wa Mafanikio Yoyote Yale Unayoyataka

Kila binadamu ana miiko, maadili au misingi yake anayoisimamia kwenye kitu fulani. Mtu ambaye hana hivyo vitu ni rahisi sana kuyumbishwa kwenye maisha yake. Maisha ni kuishi kadiri ya misingi yako na watu wengi wanaishi maisha ya wengine kwa sababu wao hawana kitu wanachosimamia kwenye maisha yao. Wako watu wanafanikiwa katika maisha yao na wako …

Jinsi Ya Kukabiliana Na Kupanda Kwa Gharama Za Maisha

Mpendwa rafiki yangu, Maisha ni magumu kweli, lakini ni magumu sana kwa wale ambao hawachukui hatua. Yule anayepambana kwake ni afadhali kuliko yule ambaye hapambani. Utaona maisha ni magumu pale utakapoona kuwa jukumu la maisha yako siyo lako ni la mtu mwingine. Lakini unapokubali kuwa jukumu la maisha yako ni lako unakubali kuyabeba maisha yako …

Design a site like this with WordPress.com
Get started