Kitu Muhimu Cha Kujifunza Kutoka Nelson Mandela

 Aliyekuwa raisi wa south Africa Nelson Mandela  ni moja mtu muhimu ambaye tunaweza kujifunza kutoka kwake juu ya msamaha. Alifungwa gerezani kwa miaka 27 lakini baada ya kutoka gerezani aliweza kuwasamehe watesi wake waliomfunga. Hakutaka kulipa kisasi juu yao bali kisasi aliamua kumwachia Mungu. alisema kuwa asipowasamehe wale waliomfunga atakuwa bado yuko gerezani. Ni mara …

Jinsi Ya Kukuza Kipato Chako

Mpendwa rafiki yangu, Ni kawaida ni sheria kuwa mtu unalipwa kadiri ya thamani unayoitoa sokoni. Kama kipato chako ni kidogo basi huenda thamani unayotoa ni ndogo pia. Bila kuwa na kipato kizuri huwezi kufanya kile unachotaka kufanya, muda mwingine una mawazo mazuri lakini unashindwa kuyafanyia kazi kwa sababu ya kipato kidogo. Licha ya wengine kuwa …

Utaacha Vitu Gani Kati Ya Hivi Viwili Pale Utakapokufa

Mpendwa rafiki yangu, Kila mtu atakufa hilo liko wazi. Je tukifa tutawaachia nini wale ambao tumewaacha duniani? Kama hakuna kitu ulichofanya, dunia itakusahau haraka sana ila kama kuna kitu umekifanya dunia itakulilia sana na kukukumbuka kwa yale mazuri uliyofanya. Je ukifa utaiachia nini familia yako? Kuna watu wakifa wanaiachi familia zao shida. kwa mfano, wanaziachi …

Jinsi Ya Kumjua Mtu Anayetaka Au Asiyetaka Kufanya Jambo Fulani

Tunaishi  na viumbe wenye akili sana ambao ni binadamu. Kuishi na binadamu vizuri inahitaji akili sana, ukishawajua watu ni rahisi sana kuishi nao hawatakuumiza kichwa hata siku moja. Ziko njia mbili za kumjua mtu anayetaka au asiyetaka kufanya jambo fulani, ni rahisi sana tu kwani ukishamsoma mtu utajua yuko upande gani. Kwanza, kama mtu anataka …

Sehemu Tatu Unazopaswa Kujifunza Zaidi Ili Kuwa Bora

Mpendwa rafiki yangu, Zama zimebadilika sana, kama usipokuwa bora utashindwa kuishi kwenye dunia ya leo. Unatakiwa kujifunza kila siku kadiri ya mabadiliko yanayoendelea kutokea. Kuna maeneo matatu ambayo kama kila mmoja wetu akiweka nguvu ataweza kufanikiwa sana. Ni maeneo ya kawaida kabisa ambayo kila mmoja wetu anaweza kujifunza na kuwa bora kisha akafanikiwa kwenye kile …

Usiwe Mtu Wa Namna Hii Katika Maisha Yako

Mpendwa rafiki yangu, Mtu mmoja aliwahi kusema ni rahisi kuwaswaga kondoo na wakaenda katika mstari mmoja lakini ni ngumu kuswaga paka wakaenda katika mstari mmoja. Kuwaongoza binadamu ni kama vile paka, kila mtu atakwenda njia yake anayojua yeye, lakini kondoo ni rahisi sana kuwaongoza kwani wanafuata mstari mmoja tu. Katika maisha tunatakiwa tusiwe kama kondoo, …

Jinsi Ya Kufanya Mambo Yasiyowezekana

Mpendwa rafiki yangu, Hakuna jambo au neno gumu lisilowekana hapa duniani. Kama limeshindikana kwako basi kwa mwingine linawezekana. Hakuna mtu ambaye anapewa jambo ambalo hawezi kulikabili. Yale yote unayokutana nayo jua yako ndani ya uwezo ndiyo maana umepewa. Unaweza kusema wewe huwezi lakini watu wengine wanaweza, kama kitu hujui chukua kama changamoto ya kujifunza ili …

Jinsi Ya Kumfundisha Mtoto Kwenye Uwezekano Wa Mambo

Mpendwa rafiki yangu, Wazazi wengi hawawafundishi  watoto wenye uwezekano wa mambo chanya. Utamaduni huu una waathiri sana watoto kutokuwa na uwezo wa kufikiri mambo katika fikra chanya. Kuna umuhimu mkubwa sana kila mzazi au mlezi kuwafundisha watoto katika uwezekano, watu wengi wanawafundisha watoto mitazamo hasi iliyoshindwa badala ya kuwafundisha mitazamo chanya. Kama wewe ni mzazi …

Hii Ndiyo Anuani Mpya Ya Mtandao Wa Kessy Deo

Habari rafiki, Leo kumekuwa kuna mabadiliko ya makubwa ya mtandao wetu wa kessy deo. Blog tayari imehamishwa kutoka kwenye mtaalamu.net/kessydeo kwenda kwenye http:kessydeo.home.blog. Makala zote zimehamishiwa kule hivyo kuanzia sasa hakuna tena mtaalamu na tutatumia link hii hapa kupata makala au kuingia moja kwa moja. Https://kessydeo.home.blog  Hakuna kitu kilichoharibika rafiki yangu, makala zitaendelea kuwepo kila …

Hiki Ndicho Kitakachotokea Pale Unatakaposhindwa Kumjali Mteja Wako?

Kama umeajiriwa basi unaauza muda na ujuzi wako hivyo kila mtu ana kitu cha kuuza. Na katika kuuza ni lazima pawepo na mteja bila mteja huwezi kuuza. Kila mtu anaishi hapa duniani kwa kuuza kitu fulani. Hakuna mtu ambaye ni hai hana anachouza, haijalishi umeajiriwa au umejiajiri. Kadiri ya Don Peppers, bila mteja huna biashara, …

Design a site like this with WordPress.com
Get started