Mpendwa rafiki yangu, Matokeo yoyote unayopata sasa kwa asilimia kubwa ni wewe mwenyewe umechagua kuwa nayo. Wewe ndiyo mchangiaji mkubwa wa kila kitu katika maisha yako. Kwa kuwa wewe ndiyo mkurugenzi wa maisha yako hivyo unatakiwa kuwajibika na maisha yako kwani hakuna anayekosa usingizi kwa sababu ya maisha yako. Kwenye maisha yako unatakiwa kuepuka kuwa …
Continue reading "Ogopa Kuwa Mtu Wa Namna Hii Kwenye Maisha Yako"