Kila kitu kina raha na kero yake. Kazi au biashara ina raha na shida zake kifupi kwenye kila utakachochagua kufanya lazima utakukutana na vizuizi vya kila aina lakini pia utakua unapata raha fulani. Kwa mfano, mtu anayefanya chochote kile, kuna raha ambayo anaipata ndani yake ambayo wewe huwezi hata kuiona kwa macho. Kwenye shabaha yetu …
Siwezi Kuishi Bila Yeye, Kwa Sababu Yeye Ndiyo Kila Kitu Kwangu
Ni kauli za watu ambao wako katika mahusiano ya kimapenzi. Lakini siyo kweli, eti kwamba huwezi kuishi bila yeye kwa sababu yeye ndiyo kila kitu kwako. Alikuambia nani dunia iko hivyo? Usipende kujipa vizuizi vingi kwenye maisha yako, maisha tayari ni magumu na wewe unayafanya kuwa magumu zaidi kwa kujiongezea mzigo kwamba huwezi kuishi bila …
Continue reading "Siwezi Kuishi Bila Yeye, Kwa Sababu Yeye Ndiyo Kila Kitu Kwangu"
Kama Unataka Kuuza Sana Zingatia Haya
Katika kazi, biashara au huduma yoyote unayotoa wako watu wa madaraja tofauti. Kwa kulijua hilo, unapaswa kujua una hudumia watu wenye madaraja tofauti. Ili wote uweze kuwahudumia, unatakiwa sasa utofautishe bidhaa, uwe na bidhaa za madaraja tofauti, yaani uwe na daraja la juu kabisa, la kati na la chini. Kwa mfano, hata katika usafiri wa …
Kutokujua Sheria Siyo Kigezo Cha Kusamehewa Kosa Lako
Ni kauli ya sheria ambayo inatumika karibu kwenye kila eneo la maisha yetu. Usipofanya kitu kwa sababu hujui usifikiri asili itakuacha salama. Lazima itakupa adhabu ya kutokujua kwako, kwa mfano, unavunja sheria kwa sababu ya ujinga wa kutokujua sheria, usifikiri kutokujua kwako kunaweza kukusaidia, hapana. Angalia sheria za asili zinavyofanya kazi. Watu hawajui misingi ya …
Continue reading "Kutokujua Sheria Siyo Kigezo Cha Kusamehewa Kosa Lako"
Kila Mtu Anakwenda Kujua Jina Langu
Maisha bila hamasa hayawezi kwenda vizuri sana. Kwa sababu sisi ni binadamu tunapaswa kupata hamasa ili tuweze kujisukuma kufanya kile tunachopaswa kufanya bila kukata tamaa. Kwa kuwa mimi ni Muuza Hamasa, Afisa Mhamasishaji Mkuu CIO (Chief Inspiration Officer na kwenda kukuuzia hamasa ambayo itafanya kila mtu ajue jina lako kupitia kile unachofanya. Kwenye maisha kila …
Kuahirisha Siyo Kitu Kibaya Kama Unahairisha Kwa Ajili Ya Kitu Hiki
Kama unahairisha kitu kibaya kwa ajili kitu kizuri hapo kuahirisha siyo kitu kibaya bali ni kitu kizuri. Kama unahairisha kuweka fokasi kwenye vitu vidogo na kuweka fokasi kwenye vitu vikubwa hapo kuahirisha siyo kitu kibaya. Kama unahairisha kufanya anasa na kufanya uwekezaji basi hapo ni kuahirisha katika mtazamo chanya. Kama unahairisha kuzurura kwenye mitandao ya …
Continue reading "Kuahirisha Siyo Kitu Kibaya Kama Unahairisha Kwa Ajili Ya Kitu Hiki"
Mfahamu Mtu Ambaye Hana Kazi Ya Kufanya
Huwa ninasikitishwa sana na mtu ambaye anasema kwa sasa sina kazi ya kufanya. Kwa binadamu ambaye uko hai unakosaje kazi ya kufa kufanya? Katika kukaa na kutafakari nikapata majibu kwamba, mtu ambaye hana kazi ya kufanya maana yake ni mtu ambaye hana thamani. Mtu mwenye thamani, hawezi kukosa kazi ya kufanya.Mtu ambaye anatoa thamani kubwa …
Jinsi Ya Kuepuka Kujitengenezea Balaa
Vitu vingi katika maisha yetu, huwa tunavitengeneza sisi wenyewe, kwa mfano, tunatengeneza tabia na kisha tabia zinatutengeneza. Hata wakati mwingine, balaa huwa mtu anajitengenezea, utaweza kushangaa sasa inakuwaje mtu anajitengenezea. Kuna msemo mwingine unasema akili isiyoshughulika inakuwa ni karakana ya shetani. Mtu ambaye ameamka asubuhi na akaupangilia muda wa vizuri, hata shetani ni ngumu kumjaribu …
Viungo Viwili Vinavyohitajika Kwenye Biashara
Ni macho na masikio. Macho yako wewe kama una biashara yanatakiwa kuwa kwenye namba. Unapaswa kujua namba muhimu za biashara yako kama vile mtaji unaozunguka kwenye biashara, idadi ya mauzo kwenye biashara, faida unayopata na kuhakikisha biashara yako inatengeneza masoko mapya kila siku. Huwa tunajinyima fedha nyingi kwenye biashara kwa sababu ya biashara kutokujulikana na …
Continue reading "Viungo Viwili Vinavyohitajika Kwenye Biashara"
Jinsi Wazazi Wanavyowachokoza Watoto Wao
Watoto wawili katika familia moja walikuwa wanapata kipigo kikali kutoka kwa baba yao. Siku moja baada ya kupata cha mtema kuni, waliandika maneno haya kwenye chumba cha kulala cha baba yao. " Uwe na huruma kwa watoto wako nao watakuwa na huruma kwako, wako Mungu. " Mtume Paulo wa Tarsus anawaasa wazazi, "msiwachokoze watoto wenu, …